Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
- #21
Uongo mnawazima sana kama nini ni watu wazima ongeeni nao taratibuMalezi ya watoto wakizazi hiki tatizo sana wanalelewa kama keki ukimgusa kidogo serikali hiyo ukimfokea mara katoroka ndo maana haya sikii vitoto vya sasa hata uwafanyie nin havina heshima malezi ya kizungu sana