Wazazi mmezidi kuwaadhibu watoto wenu wa kike

Malezi ya watoto wakizazi hiki tatizo sana wanalelewa kama keki ukimgusa kidogo serikali hiyo ukimfokea mara katoroka ndo maana haya sikii vitoto vya sasa hata uwafanyie nin havina heshima malezi ya kizungu sana
Uongo mnawazima sana kama nini ni watu wazima ongeeni nao taratibu
 
Kama akishindwa kuelewa kwa kuonywa kwa maneno bakora lazima ihusike.
 
Mtoto wa kafrika haelewi bila ya fimbo wewe, piga ya garagaza Ila kwa akili sio kwa mihemko tu unajipigia pigia mwanao
 
Uongo mnawazima sana kama nini ni watu wazima ongeeni nao taratibu
hawa watoto wamwendokasi wa kiafrika bila fimbo hamtaenda sawa,mtoto kibongo ukimdekeza unakuzalilisha ndo uje umgombeze kibahati mbaya kesho kajinyonga malezi ya sasa hivi niyaonyo sana
 
Haki sawa
 
hawa watoto wamwendokasi wa kiafrika bila fimbo hamtaenda sawa,mtoto kibongo ukimdekeza unakuzalilisha ndo uje umgombeze kibahati mbaya kesho kajinyonga malezi ya sasa hivi niyaonyo sana
Fimbo mwisho miaka 7 kwa msichana maana anaanza kuwa mama .

Nikija kuwa na msichana wangu fimbo kidogo , akili nyingi akishajua kuandika tu tunaingia mkataba .

Ambao akivunja sheria anaadhibiwa kisaikolojia labda alikuwa ni free kula kila kitu nakufanya kila kitu ila kwa maana amekosea anakaa ndani tu hadi ajutie kuwa amekosea na hatorudia simu hashiki wala nini
 
Watoto wasasa unahitaji umakini mkubwa sana kwenye malezi,tafuta kwanza utuletee mrejesho
 
Sasa tabia zake alianza akiwa wapi si kwa wazazi sasa kwanini wao hawakumkanya walipoona hana tabia nzuri kua njia za kuishi na watoto bila kumpiga kila wakati mwanadada wa 16 years old unamtandika kama ana miwili jamani??
Basi sawa
 
Hata hao wazungu hiyo psychology kuna muda inawatokea puani mtoto anajibizana na mzazi utasema ni shosti ake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Canceling>>Counselling
 
Ujinga tu hao unaowaiga kuelekeza ndio wanaoleta tabia za ovyo kwenye hii Dunia..ulimbukeni tuu unakusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…