Wazazi, mnajua kama vijana na binti zenu wameoa na kuolewa huko vyuoni?

Mie nikiwa mwaka wa kwanza tu nilioa na tukapanga msewe na kupata mtoto mmoja, tuliachana baada ya yeye kuajiriwa km 800 toka nilipo na hakuwa tayari kuwa mke mkubwa. Hadi kesho akienda rikz6 anaandika mme jina langu
Na mtoto wenu vp
 
Wanaosemaga hawawezi kuoa mwanamke aliyepita chuo Ni Kama wanahoja ila hawajua waiweke vipi ili ikubalike
 
Wewe ni mmoja wao?
 
Wanaosemaga hawawezi kuoa mwanamke aliyepita chuo Ni Kama wanahoja ila hawajua waiweke vipi ili ikubalike
Wa kwangu alivyomaliza form six tu nikamdaka..akaenda chuo mke wa mtu..najua waliniibia lakini si kwa style hii ya mke na mke miaka 3 chumba kimoko aisee !!

Yes namna ya kujenga hoja inakuwa ngumu, ila wanatafunwa sana hawa mabinti.
 
Walio vyuoni ni watu wazima kwa hiyo hatupaswi kushangaa! Tungeshangaa na kuhuzunika kama wangekuwa watoto wa sekondari au shule za msingi!
Ni sawa wakioa na kuolewa halafu ndoa zikafa wanapomaliza chuo?
 
Huo ndio uhuru walioumis mdau

Halafu wazazi wakijua yote hayo wala hawakasiriki wala kununa sasa fanya ukiwa sekondari huko.....
 
Ndio wasomi wetu hao.
 
SISI walianza poa tu wengi ila mwka wa pili kwenda wa tatu walipata vitumbo sio mchezo mpaka wale walikuwa watu wa dini
Exactly...mwaka wa 2 na wa3 mimba zinabebwa balaa..first year inakuaga kuna uoga fulani.na ushamba kutoka vijijin....wakishazoea sasa.ule ufree wa chuo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…