Wazazi, mnajua kama vijana na binti zenu wameoa na kuolewa huko vyuoni?

Hapo kwenye miaka 3 nitumie mbinu gani aelewe?
 
Hapo kwenye miaka 3 nitumie mbinu gani aelewe?
Wanajua kila kitu.Kuna mtoto fulani wa kike wa miaka mitatu alikuwa abakwe na wale walimu wa madrasa akakimbia.

Alipoulizwa alijuaje kuwa anafanyiwa kitendo kibaya akasema kuwa kuna siku alimsikia Mama yake akiongea na jirani yao juu ya masuala ya ubakaji.

Hii maana yake ni kwamba kama huyo mtoto angefundishwa mapema masuala ya ubakaji angeelewa vizuri tu.
 
Kwa maelezo hasa nimepata Mwanga wa kuongea na mwanangu. Asante
 
Ninaposikia story kama hizi napata pressure sana, binti yangu anapenda madrassa hatari. Yaani ukitaka ugombane nae basi siku mwambie leo usiende madrasa
 
Roho huwa inaniuma sana nikikumbuka jinsi nilivyokuwa nawamezesha watoto wa watu yale mavidonge ya P2

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
tuachen wanachuo..............tule bata kila siku mntusimanga.....mara ajira hakuna......
 
Ora wajuba mbona Kama tunakuja tishana kiboya arifu maswala gani izi za kuja kurushiana ma presha bp na sheli
Mi enyewe nnao binti yangu Apo fasi ya udsm nilizaaga na mtasha asee kwaiyo ni Kama shombe flani ivii kwaiyo mnataka niambia Kuna mjuba anaishi nae?
Hana mkopo nagharamia makila kitu kwaiyo mnataka niambia nikimtumiaga mapoketi money ya kununulia mazaga pale geto kwake Kuna mjuba anakuja pale kula nae?

Asee ngoja nifanyage marisechi nikija gunduaga izi makitu natimba Apo dasalade kwa spidi ya ngiri mkia juu nakuja ku kid kan kill
 
😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa uncle, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyumbani wazazi wamesubiri binti amalize chuo aolewe ili wapate mtaji kwa pesa ya mahali upande wa pili binti ana watoto wawili na mimba changa anayofikilia kuitoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanachuo ni mtu mzima ana akili ya kujua mabaya na mazuri hivyo anachofanya ni yeye na akili zake kutaka kumchunga ni kujiongezea stress

Samaki anakunjwa angali mbichi akifika hucho chuo tayari ameshakauka au atakachokifanya huko ni maamuzi yake (nothing to do with wazazi) lawama kama zipo ziwaendee wahusika...

Anyway at that age their great great great parents tayari walikuwa na vitukuu at that age na wengine walishakuwa na wake 10 au kwenye ndoa za wake wenza kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…