Kama ni mtu mzima basi ajitafutie na ada ajilipie huko chuoni sio mm nishinde juani na niuze vitu vyangu vya thamani kama ardhi na mifugo ili aende akasome alafu yy anaenda kufanya upuuzi kisa eti anesha vuka miaka 18 alafu na bado akisha feli anakuja kunidai urthi.Miaka 18 ni mtu mzima wacha wajifunze maisha, kadri wanavyofanya makosa katika umri mdogo ndivyo wanavyopata experience ya maisha. Kila mtu anaweza kuharibikiwa ajirishi umri wake.
Hao wakubwa wa bachelor wanajilipia? adaKama ni mtu mzima basi ajitafutie na ada ajilipie huko chuoni sio mm nishinde juani na niuze vitu vyangu vya thamani kama ardhi na mifugo ili aende akasome alafu yy anaenda kufanya upuuzi kisa eti anesha vuka miaka 18 alafu na bado akisha feli anakuja kunidai urthi.
AsanteMimi niko hapa mwenge kuna viuo yote hayo ulio yasema nayaona mtaani
AseeeeNi ukweli mtupu. Mimi mwenyewe nahusika hapo
NdioKwa hiyo weye ni mjukuu wa Lupamba?Sivyo?
Asante sanaMzalendo umeitendea haki taaluma yako!
Mungu akubariki daima milele!
Kesho naianza safari toka Hapa Nyamisingisi kuelekea Singida kuhakiki!
Niliwahi kusema jambo hili hapa siku za nyuma, ni hatari hata hawa vyuo vikuu kila sehemu ni noma ndoa kama zote, hahahaaa kuna hatari sanaWazazi na walezi,
Tembelea watoto wako wanaosoma vyuo...
Hata kama ungekuwa na miaka 40 ilimaradi unanitegemea huna Uhuru kwangu mtu mwenye maamuzi na maisha yake ni yule anaye jitegemea.Hao wakubwa wa bachelor wanajilipia? ada
Ukoloni huoHata kama ungekuwa na miaka 40 ilimaradi unanitegemea huna Uhuru kwangu mtu mwenye maamuzi na maisha yake ni yule anaye jitegemea.
Demokrasia ipo kwa ajili ya watu wenye akili na si kwa ajili ya wapumbavu.Ukoloni huo
AiseeMimi niko hapa mwenge kuna viuo yote hayo ulio yasema nayaona mtaani