Nashengena JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,913 Reaction score 5,318 Feb 25, 2023 #81 reymage said: Hata chuo atakaa nyumbani tu jamani naogopa mimi Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app Click to expand... Akifika degree angalau amekua kidogo. Inategemea pia akili ya yake, wengine ndio tamaa zinawaponza
reymage said: Hata chuo atakaa nyumbani tu jamani naogopa mimi Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app Click to expand... Akifika degree angalau amekua kidogo. Inategemea pia akili ya yake, wengine ndio tamaa zinawaponza
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 May 24, 2023 #82 SMART GHOST said: Mikono miovu ni hii ya kwako wewe National Anthem, bila kusahau mikono ya yule ibilisi mwenzio wa kuitwa @Wa kupambania , bila kusahau mikono ya shetani wa kuitwa mzabzab Click to expand... Mzee wa kupambania mbona nasikia ameokoka
SMART GHOST said: Mikono miovu ni hii ya kwako wewe National Anthem, bila kusahau mikono ya yule ibilisi mwenzio wa kuitwa @Wa kupambania , bila kusahau mikono ya shetani wa kuitwa mzabzab Click to expand... Mzee wa kupambania mbona nasikia ameokoka
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,111 Reaction score 53,092 May 24, 2023 #83 DR HAYA LAND said: Mzee wa kupambania mbona nasikia ameokoka Click to expand... Ewaaah! Saivi vijiwe vyangu vitatu tu geto, kazini na kanisani
DR HAYA LAND said: Mzee wa kupambania mbona nasikia ameokoka Click to expand... Ewaaah! Saivi vijiwe vyangu vitatu tu geto, kazini na kanisani