Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar


hukumpulia kisogoni kwel...!em niambie ukwel mkuu mpk mtu awe mrahisi hivyo kutoa siri zake
 
Zanzibar imewaachia nyingi watanganyika
 
Mkuu ukishakuwa shoga unaweza kubadilika kwani? Mbn km unawatetea
 
Mola wetu muadilifu sana hakuna mtu anazaliwa shoga hao wanajiendekeza.

Ushoga ni tabia ambayo mtu anaifata na kuwa nayo.

Walaaniwe wote wenye kuingiliana kinyume na maumbile tena walaniwa na viumbe wa baharini na nchi kavu na walaaniwe wanawake wote wenye kujifananisha na wanaume na wenye kusagana.
 
duu hilo tatizo ni kubwa kwa kiasi hiko kweli?? mbona hatukutani nao wengine.
Ushoga na usagaji ni laana na walaaniwe wote watendao vitendo hivyo na wenye kuunga mkono vitendo hivyo.

Hilo swali nimejiuliza nikahitimisha ya kuwa ndege wafanano huruka pamoja,ukiona unakutana na huo upuuzi ujue na wewe ni mtu wa mambo hayo.
 
duu hilo tatizo ni kubwa kwa kiasi hiko kweli?? mbona hatukutani nao wengine.
Omba usikutane nao sa hivi hali sio shwari watoto wengi sa hivi wanaharibiwa wakiwa wadogo ni muhimu kuanza kumchunguza mtoto mapema ikiwa ni pamoja na kumkagua mara upatapo nafasi,na pia usimwamini mtu yeyote hata kama ni ndugu yako ukitilia shaka tu jiridhishe hali sio shwari kwakweli
 
Aaah siku hizi wapo wengi na wala hawajifichi kuna huyo anaitwa asnath wewe ni ukimkuta kapigia kigauni,kiatu chake kirefu na wivingi yake utachoka anabinua tako akitembea anaongea kidada,sasa wewe mchokoze ni anachamba huyo!
 
Ushoga na usagaji ni laana na walaaniwe wote watendao vitendo hivyo na wenye kuunga mkono vitendo hivyo.

Hilo swali nimejiuliza nikahitimisha ya kuwa ndege wafanano huruka pamoja,ukiona unakutana na huo upuuzi ujue na wewe ni mtu wa mambo hayo.
Nilikubali hoja yako ya mwanzo lakini huko ulipo nold umechemka mzee na inaondoa mantiki ya hoja yako ya mwanzo.
Kutokutana nao wewe haimaanishi hili jambo halipo. Inategemea na mazingira unayoishi pia fahamu hilo. Kimsingi fahamu tatizo lipo na kadri siku zinavyoenda ndio linazidi kudhihirika. Litakukuta tu wakati wako ukifika
 
Sawa baunsa😀
 
Nasikitika kuona nimeandika jambo kwa Kiswahili chepesi lakini hujaelewa. Hakuna sehemu ambayo nimekanusha au kujataa kwamba hawapo ndiyo maana kauli yangu ya mwisho ikasema hivi "Ndege wafananao ndiyo huruka pamoja". Mara nyingi walevi kwa wingi huwa wanakutana na walevi wenzao sababu ya mfanano wa tabia,maana yake walevi wapo.
 
Connection ipo mkuu inasemekana ni wanariadha wa soka katika timu flani almaarufu utopolo😅
aisee😂 hii ni funga kazi,haijawahi kutokea Africa mashariki na kati
yani watoto wa Dar wameona tumechoka connection za kike wameamua kuleta za kiume!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…