Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

Nilijaribu kundadisi kidogo mwanzo wa tukio lake. Akaniambia kazaliwa hivyo yaani anapenda kuingiliwa na na nikamuuliza vipi ushawahi kut*ba mwanamke akadai hajawahi na hataki kabisa. Nikamuuliza unasimamisha. Akajibu akiwa anataka kuingiliwa ndio inasimama. Nilichoka sana hiyo siku kwa kweli.

huyu anahitaji kuelimishwa anaweza kukaa sawa, jaribu kumshawishi utamfutie kuku moja la kienyeji, akitafuna mara moja mbili atakaa sawa na kugegeda bila shida...
 
Nilimuambia atafute binti pale chuo aanze nae mdogo mdogo maana huko anapoenda itakua fedheha kubwa kwake na kwa wazazi wake. Akakubali. Ila nikaona ananiganda sana kila mara ananitext .
Nikamblock.
 
Nilijaribu kundadisi kidogo mwanzo wa tukio lake. Akaniambia kazaliwa hivyo yaani anapenda kuingiliwa na na nikamuuliza vipi ushawahi kut*ba mwanamke akadai hajawahi na hataki kabisa. Nikamuuliza unasimamisha. Akajibu akiwa anataka kuingiliwa ndio inasimama. Nilichoka sana hiyo siku kwa kweli.
kama anasimamisha mbona hilo ni dume kabisa, huyo hajazaliwa hivo bali amejiendekeza ikawa tabia yake. Zanzibar huko ndo usiseme hayo mambo kwao ishakuwa kawaida kabisa.

Hakuna cha kuzaliwa hivo wala cha nini, ni mambo ya kutaka kujaribu kila kitu, matokeo yake ni kunogewa na kutengeneza uraibu kama uraibu mwingine hatimae kuwa tabia. Na tabia haina dawa.
 
Nilimuambia atafute binti pale chuo aanze nae mdogo mdogo maana huko anapoenda itakua fedheha kubwa kwake na kwa wazazi wake. Akakubali. Ila nikaona ananiganda sana kila mara ananitext .
Nikamblock.

No usimblock, msogeze karibu kwa nia ya kumsaidia, fanya naye meeting za hapa na pale, siku toka naye out mtupie limkungu na wewe kamata moja pigeni mitungi, chukua rum na limkungu lieleze kabisa limpe show ya maana....kidogokidogo he will be proud to be a man..

shida ya hawa wahuni wa hizi Ngo's wanawafundisha kujikubali hivyo hivyo walivyo wakati wanayo nafasi yakuwarudisha kwenye mstari..
 
Kusema ukweli daslam Hali ni Mbaya Aisee wiki lililopita nilikua na mishe Kule nyuma ya Mwalimu Nyerere International airport a.k.a Buza Kwa Jimmy Kila jumapili Kuna mnada Kule Aisee nilikutana na dogo Ngapulila yaani toto la kiume laini kama dada Aisha linaongea kijisauti chembamba na kukaa pigo za kike kabisa yaani mpaka Ile kunyanyua vidole
Cha kushangaza lipo na watoto wa kike wa town a.k.a Slay queen
Na lenyewe likijihesabu kama la kike,
Daaaa nilisikitika Sana!
 
Hahahahahah dogo gasho for lifestyle
 
Mnapowatukana ndipo mnapozidi kuzidisha tatizo.

Huwezi kuwatukana halafu uwaambie wabadilike. Na wao wanajenga tabia sugu ya kiburi kwa sababu wanaona wanadhalilishwa makusudi.

Mnawaita mapunga, machoko na maneno mengine ya kuwaudhi na kuwadunisha. Kwahiyo msitarajie wabadilike.

Kama huyo mwenye tabia za kike huwezi kumbadilisha kwa kumtukana na kumuita choko. Utapoteza muda.

Hawa watu wanahitaji namna yao fulani ya kuwaelekeza na kuwasaidia.

Ukiwaendea pupa utaongeza tatizo.
 
Back
Top Bottom