Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
duu hilo tatizo ni kubwa kwa kiasi hiko kweli?? mbona hatukutani nao wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ht mm na shaka na ukubwa wa tatizoduu hilo tatizo ni kubwa kwa kiasi hiko kweli?? mbona hatukutani nao wengine.
Vijana wa Darslama wanafukuana mitaro kwelikweli
Nilijaribu kundadisi kidogo mwanzo wa tukio lake. Akaniambia kazaliwa hivyo yaani anapenda kuingiliwa na na nikamuuliza vipi ushawahi kut*ba mwanamke akadai hajawahi na hataki kabisa. Nikamuuliza unasimamisha. Akajibu akiwa anataka kuingiliwa ndio inasimama. Nilichoka sana hiyo siku kwa kweli.
Nilimuambia atafute binti pale chuo aanze nae mdogo mdogo maana huko anapoenda itakua fedheha kubwa kwake na kwa wazazi wake. Akakubali. Ila nikaona ananiganda sana kila mara ananitext .huyu anahitaji kuelimishwa anaweza kukaa sawa, jaribu kumshawishi utamfutie kuku moja la kienyeji, akitafuna mara moja mbili atakaa sawa na kugegeda bila shida...
Ww kama unatembea kanisani, nyumbani na kijiwe cha kahawa utawaona wapi mm mtt wa kike lakini hali ni mbaya sana tembea uswahilini huko ndio utaona balaaduu hilo tatizo ni kubwa kwa kiasi hiko kweli?? mbona hatukutani nao wengine.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]'If you don't like gay marriage, blame straight people. They are the ones who keep having gay babies'
Aisee inawezekana sababu sina mizunguko mingi ni kazini na home sana sana ngoja nianze kutembea nijionee.Ww kama unatembea kanisani, nyumbani na kijiwe cha kahawa utawaona wapi mm mtt wa kike lakini hali ni mbaya sana tembea uswahilini huko ndio utaona balaa
kama anasimamisha mbona hilo ni dume kabisa, huyo hajazaliwa hivo bali amejiendekeza ikawa tabia yake. Zanzibar huko ndo usiseme hayo mambo kwao ishakuwa kawaida kabisa.Nilijaribu kundadisi kidogo mwanzo wa tukio lake. Akaniambia kazaliwa hivyo yaani anapenda kuingiliwa na na nikamuuliza vipi ushawahi kut*ba mwanamke akadai hajawahi na hataki kabisa. Nikamuuliza unasimamisha. Akajibu akiwa anataka kuingiliwa ndio inasimama. Nilichoka sana hiyo siku kwa kweli.
Nilimuambia atafute binti pale chuo aanze nae mdogo mdogo maana huko anapoenda itakua fedheha kubwa kwake na kwa wazazi wake. Akakubali. Ila nikaona ananiganda sana kila mara ananitext .
Nikamblock.
Joto haliwez pungua hapa darNina jambo lilinikuta juzi kati
Dogo mmoja wa first year chuo fulani anaomba nikamle
Dah sitosahau sikuamini aisee kama hali imefikia hivi. Miaka kumi mbele kutakua hakutamaniki kwa ushetwani huu
Una nyota ya “Mende”uShoga unakua kwa kasi kwasababu ukimtafuna mwenzio Lazima nawe utakuja kutafunwa tu , mabaasha wengi nao huliwa hakika tusali sana Kwa kipindi cha miezi miwili nimefuatwa na gay zaid ya sita
Kwanini mzee?Joto haliwez pungua hapa dar
Kumbuka mamende huishia kugeuzwa pia.Una nyota ya “Mende”
Hahahahahah dogo gasho for lifestyleKusema ukweli daslam Hali ni Mbaya Aisee wiki lililopita nilikua na mishe Kule nyuma ya Mwalimu Nyerere International airport a.k.a Buza Kwa Jimmy Kila jumapili Kuna mnada Kule Aisee nilikutana na dogo Ngapulila yaani toto la kiume laini kama dada Aisha linaongea kijisauti chembamba na kukaa pigo za kike kabisa yaani mpaka Ile kunyanyua vidole
Cha kushangaza lipo na watoto wa kike wa town a.k.a Slay queen
Daaaa nilisikitika Sana!
Wazee wa LGBT sio ?!! 🤣🤣subiri MAGASHO waje na hasira
Mnapowatukana ndipo mnapozidi kuzidisha tatizo.Kusema ukweli daslam Hali ni Mbaya Aisee wiki lililopita nilikua na mishe Kule nyuma ya Mwalimu Nyerere International airport a.k.a Buza Kwa Jimmy Kila jumapili Kuna mnada Kule Aisee nilikutana na dogo Ngapulila yaani toto la kiume laini kama dada Aisha linaongea kijisauti chembamba na kukaa pigo za kike kabisa yaani mpaka Ile kunyanyua vidole
Cha kushangaza lipo na watoto wa kike wa town a.k.a Slay queen
Daaaa nilisikitika Sana!
Hivi Mtoto Wa kiume unafanya birthday party ya nini?Birthday parties zimezidi mitaani....
Birthday parties zimejaa uswahilini.....si kwa watoto tu wa kike bali hata wa kiume........
WAKING UP CALL