Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

Haya tunayoyaona now ni matokeo ya zile mbegu zilizopandwa kupitia series, movie na tamthilia ya kifilipino na kizunguu..ndio tunaanza kuona maua sasa bado kuvuna tu..

Hali si nzuri na jamii yetu inaanza kutake it's normal.
 
Ww kama unatembea kanisani, nyumbani na kijiwe cha kahawa utawaona wapi mm mtt wa kike lakini hali ni mbaya sana tembea uswahilini huko ndio utaona balaa
Route yangu: Kazini, evening classes, kuangalia mpira, kuchill na washikaji, msikitini, kungalia movie, kusoma vitabu (kiasi), mazoezi (self defence), kupitia JF na Twitter, You Tube kuangalia channel nilizo subscribe, cha mwisho nina muda wangu napenda kukaa kimya mwenyewe sihitaji bughudha ya aina yoyote.

Party sipendi bora uniambie tucheze game PlayStation au tuangalie movie yakishindikana nakula ngoma zangu za Hip hop.

Ndivyo maisha yangu yalivyo.

Nikisikia kwenye mitandao kama hivi inanifikirisha ina maana tatizo limekuwa kubwa kiasi hicho aisee!
 

Sawa baunsa😀
Umenikumbusha mwanangu mmoja hivi yeye ni bonge!!

Sasa mmoja wa mshikaji wetu yeye ni mtu wa kunyanyua vitu vizito a.k.a baunsa!

Sasa bonge akaulizwa "Biggy unaweza hayo mambo?"...Biggy akajibu mwisho wa siku ili iweje? Utaishia tu kuwa mlinzi wa club au utawalinda wenzako kama wale wanaomlinda diamond.... Eti unajaza jaza minyama ya kwenye mkono ili iweje!
 
Nilimuambia atafute binti pale chuo aanze nae mdogo mdogo maana huko anapoenda itakua fedheha kubwa kwake na kwa wazazi wake. Akakubali. Ila nikaona ananiganda sana kila mara ananitext .
Nikamblock.
Bado aujamsaidi mkuu, ungemtafutia Kuku wa Kienyeji Cha uswahilini akampige show
 
Anaetaka video ya huo uchafu ani PM tu
 
Kama Taifa sehemu tuliyofikia ni mbaya sana

Ninaandaa tamko kali kuhusu huu uchoko unaendelea hapa nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…