Wamefanya nini?Anaetaka video ya huo uchafu ani PM tu
Hiyo clip ipoje mkuu[emoji35]Anaetaka video ya huo uchafu ani PM tu
Wamefirwa na kunyonyeshwa mborow.Wamefanya nini?
Haya mambo huanzia mbali. Kwa mfano watoto wengi wa kiume wanapokuwa wadogo (miaka 3-8) wazazi wengi wanakuwa hawako karibu nao. Hii inafanya walaghaiwe na kuanza kufanyiwa huu ushenzi. Ni muhimu sana wazazi kuacha kuzaa hovyo. Kuna wanawake wengi kweli ambao wametelekezwa na watoto hivyo uangalizi unakuwa mdogo. Na kingine: umeingia mtindo mbaya sana wa wanaume kupenda kulatiwi wanawake. Hii vile vile inajenga mazoea na baadae wanageukia wanaume wenzao.porno zinawaaribu madogo, dogo kajaribu kanogewa. Sasa kaamua atafute wa kuendelea kumtekenya tigo.
Endelea kuwa na wasi wasi tu.Nina wasi wasi na huu mwandiko wako.!
Mkuu huu ni ulimbikeni wa kuiga. Siku za nyima hatukuwa na huu ujinga wa ''birthday''. Haya mambo yalikuwa ni huko Masaki na Oysterbay. Siku hizi Uswazi ndiyo wanaongoza kwa sherehe za birthday. Na mbaya zaidi ulimbukeni unawafanya watumie fedha nyingi ili tu ''kufunika''. Unakuta familia maskini kabisa haina hata chakula cha uhakika lakini wanapoteza fedha nyingi ili kufanya sherehe.Hivi unasherekeaje miaka ambayo hukufika Kwa juhudi zako? Huwa nawashangaaka sana watu wanaosherekeaga hii kitu.
Hatari sanaHahahahah wahuni wanapiga 1 na 2
Muone na huyu, lolAnaetaka video ya huo uchafu ani PM tu
'If you don't like gay marriage, blame straight people. They are the ones who keep having gay babies'
Wewe haukumbandua kweli?Nilimblock akaja nitafta kwa namba mpya akini inform kwamba kaanza chuo Cha utangazaj na kapanga geto lake
Kuna jamaa aliyemuharibu kipindi yupo o level nahisi wamerudiana according to yy mwanzon waligombana
Vijana punguzen kupenda vya bureMimi kuna dogo nilimtibia fangas alinitaka nikamwambia Nina MKE wangu akasema ataanzaje kujua si kimya kimya, nilimwambia DOGO mm nilifanya KAZI yangu ya udaktar imetosha, akasema nitaftie rafiki yako hapo nkaona dogo kakolea
Nenda kwenye ma saloon ya kike, wanashinda huko.unaweza kuta shoga mrembo kuliko hata wanawake wenyewe.Mimi nakukaa dar miaka yote hii sijawahi ona hao machoko.
Nyie mnawaona wap ?
Wengine wanasema kuna Jua Kali sijui Mvua hainyeshi sababu ya hao vijana [emoji2],Yaani kuona vivideo viwili.. kila mtu ooonh daslam mashoga wengi.. hao madogo mnaowaona ni watu wazima.. 27 and above sio watoto hao..
Kufokoana ni kawaida yao.
Vitendo hivo vipo miaka na miaka.. msituletee habari nyeusi hapa..
One man down...Watanzania bhana,
Yaan kijana asifurahie siku yake ya kuzaliwa na vijana wenzie basi kishakua Shoga, kwa kua wewe ulilelewa kikauzu kauzu basi unataka kila mtu aishi kikauzu kauzu,
Acheni hizo bhana.
Kuna mtetezi wao alikuwepo humu sijui kapotelea wapi, aliitwa BHANUNUsubiri MAGASHO waje na hasira