Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

Kuna clips nimeziona, disgusting dah! Vijana wa kiume mjiangalie sana.
 
Way back tukiwa form 4 kuna mwana alikuwa classmate tulihisi ni CHOKO ila ndo tulikosa vidhibiti, mwisho wa siku tulimkuta ameinamishwa ukutani na Dogo wa form one

Kufika A level Asee hawa MACHOKO walikuwa kama almost 5 na nilicho tambua ni kwamba Most ya hawa wapumbavu wanatoka familia bora na zenye uwezo kifwedha Coz walikuwa wanatumia power of money kutafunwa na wakulungwa

Na wawili mpk sasa wapo kwenye media house kubwa hapa nchini

Na kilichopo ni kwamba wengi wao ni hawa MCHICHA PORI ambao mbele unakata na nyuma unaliwa coz kuna mmoja aliugua na kumpeleka hospital wakakuta mrija wa kutoa mkojo umezibwa kwa uchafu wa NYA

NB:Malezi ya watoto kwa lifestyle ya kizungu ni kumuandaa kuwa CHOKO na mtoto bado ni mdogo ila anapelekwa boarding schools na anakuwa ktk risk kubwa
 
porno zinawaaribu madogo, dogo kajaribu kanogewa. Sasa kaamua atafute wa kuendelea kumtekenya tigo.
Haya mambo huanzia mbali. Kwa mfano watoto wengi wa kiume wanapokuwa wadogo (miaka 3-8) wazazi wengi wanakuwa hawako karibu nao. Hii inafanya walaghaiwe na kuanza kufanyiwa huu ushenzi. Ni muhimu sana wazazi kuacha kuzaa hovyo. Kuna wanawake wengi kweli ambao wametelekezwa na watoto hivyo uangalizi unakuwa mdogo. Na kingine: umeingia mtindo mbaya sana wa wanaume kupenda kulatiwi wanawake. Hii vile vile inajenga mazoea na baadae wanageukia wanaume wenzao.
 
Hivi unasherekeaje miaka ambayo hukufika Kwa juhudi zako? Huwa nawashangaaka sana watu wanaosherekeaga hii kitu.
Mkuu huu ni ulimbikeni wa kuiga. Siku za nyima hatukuwa na huu ujinga wa ''birthday''. Haya mambo yalikuwa ni huko Masaki na Oysterbay. Siku hizi Uswazi ndiyo wanaongoza kwa sherehe za birthday. Na mbaya zaidi ulimbukeni unawafanya watumie fedha nyingi ili tu ''kufunika''. Unakuta familia maskini kabisa haina hata chakula cha uhakika lakini wanapoteza fedha nyingi ili kufanya sherehe.
 
Watanzania bhana,
Yaan kijana asifurahie siku yake ya kuzaliwa na vijana wenzie basi kishakua Shoga, kwa kua wewe ulilelewa kikauzu kauzu basi unataka kila mtu aishi kikauzu kauzu,

Acheni hizo bhana.
 
'If you don't like gay marriage, blame straight people. They are the ones who keep having gay babies'

Niongeze tu
Kama mwanaume unafukunyua mitaro ya mwanamke Au mwanaume mwenzako jiandae kizazi chako kitaliwa nyuma mpaka basi
Same kama mwanamke unaliwa jiandae kizazi chako kitalambwa nyuma mpaka basi
Huu ni ukweli tusishangae kwanini haya mambo yanaongezeka kwa kasi ya 4G ni matunda ya miaka ya nyuma ambapo mambo yalikuwa ya siri

Mwenyezi Mungu aturehemu sisi na vizazi vyetu
 
Nilimblock akaja nitafta kwa namba mpya akini inform kwamba kaanza chuo Cha utangazaj na kapanga geto lake

Kuna jamaa aliyemuharibu kipindi yupo o level nahisi wamerudiana according to yy mwanzon waligombana
Wewe haukumbandua kweli?
 
Mimi kuna dogo nilimtibia fangas alinitaka nikamwambia Nina MKE wangu akasema ataanzaje kujua si kimya kimya, nilimwambia DOGO mm nilifanya KAZI yangu ya udaktar imetosha, akasema nitaftie rafiki yako hapo nkaona dogo kakolea
Vijana punguzen kupenda vya bure
 
Mimi nakukaa dar miaka yote hii sijawahi ona hao machoko.

Nyie mnawaona wap ?
Nenda kwenye ma saloon ya kike, wanashinda huko.unaweza kuta shoga mrembo kuliko hata wanawake wenyewe.
 
Yaani kuona vivideo viwili.. kila mtu ooonh daslam mashoga wengi.. hao madogo mnaowaona ni watu wazima.. 27 and above sio watoto hao..
Kufokoana ni kawaida yao.
Vitendo hivo vipo miaka na miaka.. msituletee habari nyeusi hapa..
 
Yaani kuona vivideo viwili.. kila mtu ooonh daslam mashoga wengi.. hao madogo mnaowaona ni watu wazima.. 27 and above sio watoto hao..
Kufokoana ni kawaida yao.
Vitendo hivo vipo miaka na miaka.. msituletee habari nyeusi hapa..
Wengine wanasema kuna Jua Kali sijui Mvua hainyeshi sababu ya hao vijana [emoji2],
Badala wajiorganize vijana wazima wakapande miti kwa faida zao, wapo JF kuandika umbea na kulaumu watu wengine wakiwa katika starehe zao.
 
Back
Top Bottom