Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

Nadikitika kuona nimeandika jambo kwa Kiswahili chepesi lakini hujaelewa. Hakuna sehemu ambayo nimekanusha au kujataa kwamba hawapo ndiyo maana kauli yangu ya mwisho ikasema hivi "Ndege wafananao ndiyo huruka pamoja". Mara nyingi walevi kwa wingi huwa wanakutana na walevi wenzao sababu ya mfanano wa tabia,maana yake walevi wapo.
Kwa lugha rahisi wanaokutana na hao mashoga na wenyewe ni mashoga?
 
'If you don't like gay marriage, blame straight people. They are the ones who keep having gay babies'
I wish I could understand what you've just said. Can you substantiate it for the benefit of all?
 
Nilijaribu kundadisi kidogo mwanzo wa tukio lake. Akaniambia kazaliwa hivyo yaani anapenda kuingiliwa na na nikamuuliza vipi ushawahi kut*ba mwanamke akadai hajawahi na hataki kabisa. Nikamuuliza unasimamisha. Akajibu akiwa anataka kuingiliwa ndio inasimama. Nilichoka sana hiyo siku kwa kweli.
Au ndo wewe unatuzungusha tu hapa!!
 
Hivi Mtoto Wa kiume unafanya birthday party ya nini?

Ukiwa na mwanao chini ya 18yrs birthday part ifanyike nyumbani kwako au kwamajirani sio kumruhusu mtoto kwenye maclub au mabeach kwa ajili ya birthday part..

Zama hizi malezi yamekuwa magumu sana, usipoitunza na kuilinda familia yako hakuna wakukulindia huko uraiani kumejaa mashetani na kila aina ya washenzi...vitoto vidogo vyenyewe mitihani kama mama zao vile....basi full mitihani...

Ukiweza kuishi na mwanao wa kike na wakiume hata mpaka 25yrs kwa malengo maalum ishi nao, maana sasa hivi hawa vijana walio vyuoni ni hatari tupu na hawawezi kabisa kuutumia uhuru waliopewa matokeo yake ni janga kwa Taifa..

Tunacheka leo lakini Taifa linazama taratiibu...
 
Nilijaribu kundadisi kidogo mwanzo wa tukio lake. Akaniambia kazaliwa hivyo yaani anapenda kuingiliwa na na nikamuuliza vipi ushawahi kut*ba mwanamke akadai hajawahi na hataki kabisa. Nikamuuliza unasimamisha. Akajibu akiwa anataka kuingiliwa ndio inasimama. Nilichoka sana hiyo siku kwa kweli.

HORMONAL IMBALANCE!! Ameumbwa na hormones za kike zaidi kuliko za kiume!!
 
I mean that no one is born 'gay', they become gay in the society that is raising them
The society should the first to be blamed
I and you are the society to be blamed. As far as WE, the society is concerned, What should We do to rectify and prevent further downfall?
 
Siku hizi unaweza kukutana na kusanyiko la vijana wa kiume wakisherehekea birthday, kumbe ni kusanyiko la mashoga.

Kuna birthday zinazo wakutanisha mashoga, vijana wadogo ingawa wengine watu wazima. Hili janga tusione aibu kulizungumzia kwa kudhani halipo nawahakikishieni lipo tena kubwa sana.

Mashirika ya haki za binadamu na taasisi nyingine wapo kimya katika janga linalolinyemelea taifa, Ukahaba, umalaya, ushoga umekithiri hasa katika vyuo vyetu vikuu.

Na niseme vyuo kadhaa vya Dar es Salaam vinaongoza katika dhambi hizi, hasa chuo kikuu cha UDSM ikiwa kinara ikifuatiwa na IFM na CBE kwa kasi hii ya ushoga sisi kama Taifa tuko hatarini kupoteza nguvu kazi ya kesho, hivyo serikali inabidi kulifanyia kazi hili suala ili kuokoa kizazi kijacho, hali ni mbaya sana huku mtaani.

Nakatika uchunguzi wangu nimegundua ya kwamba changamoto zinazopelekea vijana wa kiume walioko vyuo vikuu, kujihusisha na ushoga ni pamoja na kupenda mno starehe kuliko uwezo wao, kupenda fedha, wengine wanakuja wakiwa tayari wameisha fanya huko watokako (mikoani) na wakifika dar es salaam ndio wanajiachia hasa.

Wito kwa wazazi muwe makini kuwafuatilia watoto wenu, maana hali ni mbaya sana huku mtaani.
Janga kubwa linaloikabil dunia kwa sasa ni ushoga
 
I and you are the society to be blamed. As far as WE, the society is concerned, What should We do to rectify and prevent further downfall?
we should go back to our roots, our african culture
there are many positives things in the way we educate our boys to became men
I believe kijana aleipitia jandoni, sio rahisi kuwa shoga...
 
Back
Top Bottom