Hivi unasherekeaje miaka ambayo hukufika Kwa juhudi zako? Huwa nawashangaaka sana watu wanaosherekeaga hii kitu.Sijaona Connection ya Happy Birthday na ushoga labda uelezee zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unasherekeaje miaka ambayo hukufika Kwa juhudi zako? Huwa nawashangaaka sana watu wanaosherekeaga hii kitu.Sijaona Connection ya Happy Birthday na ushoga labda uelezee zaidi.
Siyo lazima wawe wote mashoga bali wana tabia za kufanana.Kwa lugha rahisi wanaokutana na hao mashoga na wenyewe ni mashoga?
We muhaya gani unakua boya hivi?Tumekupata shoga!! Unauzaje nkuletee wazibuaji?
Sasa Mtoto wa kiume unafanyaje birthday party?! Kulishana keki, kumwagiana maji hayo mambo tuwaachie dada zetu.Sijaona Connection ya Happy Birthday na ushoga labda uelezee zaidi.
LaanatullahNilijaribu kundadisi kidogo mwanzo wa tukio lake. Akaniambia kazaliwa hivyo yaani anapenda kuingiliwa na na nikamuuliza vipi ushawahi kut*ba mwanamke akadai hajawahi na hataki kabisa. Nikamuuliza unasimamisha. Akajibu akiwa anataka kuingiliwa ndio inasimama. Nilichoka sana hiyo siku kwa kweli.
Umejuaje? Au umeachika?Vijana wa Darslama wanafukuana mitaro kwelikweli
Mwanaume rijali Unachokaje? Ukute we Ni mmoja wao!Nilijaribu kundadisi kidogo mwanzo wa tukio lake. Akaniambia kazaliwa hivyo yaani anapenda kuingiliwa na na nikamuuliza vipi ushawahi kut*ba mwanamke akadai hajawahi na hataki kabisa. Nikamuuliza unasimamisha. Akajibu akiwa anataka kuingiliwa ndio inasimama. Nilichoka sana hiyo siku kwa kweli.
Wazee wa upinde wa mvua dadeki [emoji3]Ukiona mtoto wako wa kiume kapost status birthday is loading....... aisee hesabu hasara[emoji38]
Kuna dogo langu. Ndo zake. Yupo IFMWazee wa upinde wa mvua dadeki [emoji3]
Joto Kali Hadi feni hazifanyi kazi yake hahahahahaJoto haliwez pungua hapa dar
Halafu ikawaje?Mimi kuna dogo nilimtibia fangas alinitaka nikamwambia Nina MKE wangu akasema ataanzaje kujua si kimya kimya, nilimwambia DOGO mm nilifanya KAZI yangu ya udaktar imetosha, akasema nitaftie rafiki yako hapo nkaona dogo kakolea
Nilimblock akaja nitafta kwa namba mpya akini inform kwamba kaanza chuo Cha utangazaj na kapanga geto lakeHalafu ikawaje?
hahahaaa!! hii mbona imekaa kama chai, mmeshaanza kuleta chai sasa.Mimi kuna dogo nilimtibia fangas alinitaka nikamwambia Nina MKE wangu akasema ataanzaje kujua si kimya kimya, nilimwambia DOGO mm nilifanya KAZI yangu ya udaktar imetosha, akasema nitaftie rafiki yako hapo nkaona dogo kakolea
Nini hiki aisee!?'If you don't like gay marriage, blame straight people. They are the ones who keep having gay babies'
Daktari unaandika namna hii!Nilimblock akaja nitafta kwa namba mpya akini inform kwamba kaanza chuo Cha utangazaj na kapanga geto lake
Kuna jamaa aliyemuharibu kipindi yupo o level nahisi wamerudiana according to yy mwanzon waligombana
Hawa hapa[emoji1313][emoji1313][emoji1313]duu hilo tatizo ni kubwa kwa kiasi hiko kweli?? mbona hatukutani nao wengine.