Wazazi na ndugu wa mke wangu wananikosesha raha

Wazazi na ndugu wa mke wangu wananikosesha raha

Daaaah nimecheka Hadi nashangwaaa huku yani kakubali Mama mkwe, mpandishe cheo mkeo kuwa bi mkubwa.[emoji23][emoji23]

Anyway hayo matani, asalaam aleikhum kaka pole kwa hayo maswahibu.

Mosi, inaonekana labda unakajiuwezo kidogo ndio maana familia ya mkeo imeweka kambi hapo, kama ndiyo basi wape hata kamtaji wakafanye mishe mishe huko Kijijin kwao kwa maana kulisha watu nane kwa miez minne kwa Dar ni pesa ndefu sana.

Pili, umefanya mistake kumtongoza ma mkwe sijui unareverse vipi hii kitu, chakufanya we muulize vipi natamani uendelee kuwepo hapa tufaidi pezi letu akikuambia Bado yupo yupo hayo majanga fanya mpango piga chini.

Tatu, hao wakwezo Hawana adabu haiwezekan familia nzima ije kwako kwa huo muda wote ,nyumban ndogo hivi hawaoni??? Au ndo wale ndugu zetu wanaojitoboa macho wawe omba omba [emoji23][emoji23] hawajui kama nyumba ni ndogo

Nne na mwisho, suala la kula mzigo we hujaamua tu unaweza toka out na mkeo mkaenda hotelini mkamalizana hukoo
 
Mkuu hujapenda bandiko kisa kwenu ni Mpwapwa. Halafu inawezekana huyu jamaa ni shemeji yako bana. Mwambie bi mkubwa na mzee waondoke kwa shemeji yako watavunja ndoa ya dada yako.
Kweli Mpwapwa ni kwetu mkuu ila sina ndugu ninayemfahamu ambaye wazazi wake wanaishi kwa shemeji.
 
Ukiwa na akili hiyo huwezi toboa maisha walah, yaani changamoto ndogo namna hiyo unakuja kulia lia jf? Wangekuwa ni wazazi wako ungelalamika kiivo? Yaani umenichefua sana. Be a real man
Hapana aisee wengi mno . 9 !!
 
😆😆Duuh, mama mkwe amekubali ududu!!!.
Hiyo familia, wagogo hao bila shaka.
 
Ukiwa na akili hiyo huwezi toboa maisha walah, yaani changamoto ndogo namna hiyo unakuja kulia lia jf? Wangekuwa ni wazazi wako ungelalamika kiivo? Yaani umenichefua sana. Be a real man
Kila familia ina malez na tabia zake, mfano mim wazaz wangu na ndugu zangu hatu pendi kutembea majumban kwa watu au kwenda kuishi kwa ndugu bila sababu ya msingi kama msiba, harusi, mgonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu toweka hata miezi miwili au mitatu watajipanga tu mjini mipango
 
Naomba kukuuliza

Je umeajiriwa au unafanya biashara?

Kama umeajiriwa basi fanya kama unahamia kwa mshkaji wako na kuwema kambi kidogo....huku ukimuaga wife kuwa unesafiri kikazi. Mute hapo kwa siku kadhaa utaona wataondoka
 
Pole sana. Ulioa wapi? Mpwapwa? Nilidhani ni Kisiju, Kisarawe ama Bagamoyo. Ukikosea kuoa ndiyo madhara yake hayo. Kosa siyo la ndugu bali la mkeo. Mkeo hana hamu ya maendeleo kabisa!! Maisha yamejaa stress sana lakini stress za ukoo mzima siyo nzuri kwa mwanadamu.
Mke wangu nimejaribu kumwambia awambie ndugu zake na wazazi warudi kijijini lakini hataki eti anatamani awe nao karibu ili akibahatika kupata mtoto wamsaidie kulea.
 
Ukiwa na akili hiyo huwezi toboa maisha walah, yaani changamoto ndogo namna hiyo unakuja kulia lia jf? Wangekuwa ni wazazi wako ungelalamika kiivo? Yaani umenichefua sana. Be a real man
Lakin sio ustaarabu tena watu wabadilike watu wakioana wapewe space kabisa
Mnaenda jazana watu wote hao hata kama kungekuwa Na nyumba kubwa
Kila mtu akae kwake
Mim mwenyewe sipendi
 
Waambie ukweli aisee kutembeleana siku moja kila mtu arudi kwake miji hao wamemuachia nani?
 
Mkuu hama hapo oa mke wa pili weka makazi nyumba nyingine watajiongeza tu
 
[emoji28][emoji28][emoji28]mama mkwe ana balaa huyo
Ani hapo ni kama umewatengenezea mazingira ya kukaa hapo hapo mkuu
Pole lakin ila fanya maamuz magumu
Mwambie mkeo achague aondoke na wazazi wake au wazazi wake waondoke
 
Ondoke nyumban week mbili na ukirudi utakuta wameondoka tena na joto hili dar watapaona pachungu
 
Back
Top Bottom