Wazazi na ndugu wa mke wangu wananikosesha raha

Wazazi na ndugu wa mke wangu wananikosesha raha

Hahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanakuka mnoo kama mchwa
Mama mkwe naye anataka kukupa mzigo, et mwez wa nne huu hujala mzigo umejua kutuongopea man uko vizur kwa stor
 
Chai......
1. Kama hujapiga game kwa miezi 4 na unaweza usipewe game for unforeseen future.... huyo mtoto anayesubiriwa ili msaidiwe kulea atatoka wapi?

2. Kwa mazingira hayo ambayo umeshindwa tu kumpembua wife, hayo mazingira ya kutongoza na kum-do our mother-in-law yanatoka wapi?

Ila kingine story yako ingenoga tu bila specifically kuitaja Mpwapwa
Inaonekana Mpwapwa ndio kwenu, waambie hao ndugu zako warudi kijijini, wanampa tabu mshikaji.
 
Je, mkeo ni mjamzito anaposema akipata mtoto wamsaidie kulea? Kama ndio mwambie mwenye jukumu hilo ni mama yako
 
Chai......
1. Kama hujapiga game kwa miezi 4 na unaweza usipewe game for unforeseen future.... huyo mtoto anayesubiriwa ili msaidiwe kulea atatoka wapi?

2. Kwa mazingira hayo ambayo umeshindwa tu kumpembua wife, hayo mazingira ya kutongoza na kum-do our mother-in-law yanatoka wapi?

Ila kingine story yako ingenoga tu bila specifically kuitaja Mpwapwa
Mpwa.hoyee kama.ndio.hujapenda waambie nduguzako watakosa vyote. Namjorekebishe
 
Nilikuamini na story yako ila hapo uliposema umemtongozwa mama mkwe mmh siamini huo uthubutu umeutoa wapi? Eti amekubali chai hii.

Anyways pole ila jitahidi kumwambia mkeo aongee nao tu warudi kama akipata huyo mtoto basi atawaita baadhi tu si wote. Nakumbuka bibi yangu alivokua hapendi kukaa kwa watoto wake anasema mji wangu nimeuacha na mashamba naondoka. Kumbe kuna wazazi waoona fresh tu kuishi kwa mtoto tena anayeanza maisha vyumba 2 bila sababu yoyote kama wanaumwa wamekuja kutibiwa labda mmh[emoji2960]
Kama chai umechangia nini
 
Nakuonya kuhusu kuondoka dawa hamisha vitu vyote muhimu hapo hifadhi hata kwa majirani, Wagogo ukiondoka ukawaachia vitu utakuta nyumba nyeupe haina kitu, ole wako ile siku wataimba sana nyimbo za kilugha chao utaisoma, inaonekana umelewa cheupe dawa wale wenye golori chapa ya uso.

Wana vitako fulani ngongi Refractive kimkunjo danceee.
 
Mkuu ni Bora uonekana mbaya.....Jumamosi Kaa zako sebleni wape taarifa kua jumapil usiku Kuna kikao....muda wa kikao waambie jamani mama mkwe na baba mkwe naomba mrudi kijijini...muda wenu wa kuishi kwangu umeisha.samahani kama ntakua nimewakawaza .... Na wengine ambao uwataki waambie.....ukimaliza wape nauli ingia chumbani lala....ukiamka asubui muulize mke wako ndugu zako wanaondoka sa ngap nkirudi nkute majibu.....ukiwa serious!!!
Unajua familia nyingine sijui wakoje
Yaani hili nalo Hadi waambiwe niswala la kujiongeza tuu

Me Nina ndg zangu wameolewa amini usiamini sipajui hata wanapoishi Hadi wakati mwingine naletewa malalamiko na waume zao kuwa kwanini huji kutusalimia utie baraka lakini Sina time kabisa
 
Nakuonya kuhusu kuondoka dawa hamisha vitu vyote muhimu hapo hifadhi hata kwa majirani, Wagogo ukiondoka ukawaachia vitu utakuta nyumba nyeupe haina kitu, ole wako ile siku wataimba sana nyimbo za kilugha chao utaisoma, inaonekana umelewa cheupe dawa wale wenye golori chapa ya uso.

Wana vitako fulani ngongi Refractive kimkunjo danceee.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa vile wewe ni mpangaji nakushauri uhame nyumba. Unakotafuta tafadhali panga chumba moja. Wakivumilia ujue kwa familia ulioolea hauto toboa.
 
Kwani ww ni yatima? N ww walete wako pia. Unakuta wako wanateseka ukoo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]amekubali
 
Leo usiku au kesho ukirudi, ingia room kamata mkeo piga mashine hasa.... Yaani unahakikisha unapiga mikito ya nguvu; Hakikisha unapeleka moto hadi anajisahau kuwa kuna ndugu zake anaanza kupiga kelele (hakikisha unapiga shoo kwa minimum masaa mawili-Kama huwezi shoo ndefu mpakie mkongo). Fanya hivi siku tano mfululizo.

Wasipoaga mmoja mmoja au kwa pamoja, njoo uchukue hela.
Acha uzembe, yaani unashindwa kuto.mba mkeo kisa ndugu zake wamejaa? Utatomb.ewa na vijana wa bodaboda.
Endelea kukaa kizembe tu.
 
Rafiki yangu mmoja alinishauri labda nimtongoze mama mkwe lengo achukie aondoke na mmewe lakini cha ajabu amekubali 😥😥😥😥
Ukisikia mikosi ndio hii sasa. Kwaiyo sahv unakula mama mkwe?
 
Wataftie nauli uwapatie uwambie warudi kwao maana hali yako ya uchumi na kifamilia haipo vizur sahv kutokana na majukumu kukulemea na una Malengo yako unaitaji kuyatimiza. Mkeo akizingua na yeye mpe nauli aondoke nao
 
Back
Top Bottom