Wazazi na ndugu wa mke wangu wananikosesha raha

Mke wangu nimejaribu kumwambia awambie ndugu zake na wazazi warudi kijijini lakini hataki eti anatamani awe nao karibu ili akibahatika kupata mtoto wamsaidie kulea.
Mtoto atapataje kama nafasi ya ww Kula mzigo HAKUNA?!!!
 
haya mambo ya familia kujazana kwa mtu yapo sana kama hutokuwa na msimamo(wewe mwanaume) basi utaubeba mzigo wa dhambi ,.
Nishawahi pitia nikawa nafamilia ya watu Tisa ,uwajuwe chai asubuhi ,mchana wamekula ,jioni ,Alafu hapo hapo akatakiwa aje mtu mwingine ,Ndipo nilipokaa nikawaeleza msidhani maisha nirahisi kuendesha hii familia ,Hapa haongezeki mtu kama waliokuwepo hawajapungua ,mimi pesa siokoti sasa tusiishi kwa kukomoana ,maisha magumu .(Tena ugeni ulikuja kwa ajili ya ugonjwa ,isingekuwa hivyo nilishatimuwa wote)
 
Ukiwa na akili hiyo huwezi toboa maisha walah, yaani changamoto ndogo namna hiyo unakuja kulia lia jf? Wangekuwa ni wazazi wako ungelalamika kiivo? Yaani umenichefua sana. Be a real man
@kawoli si kasema familia ya 7yote imehamia kwake na maisha hajatoboa unatak afanyaje
Wema usizidi uwezo mkuu
 
Ukiwa na akili hiyo huwezi toboa maisha walah, yaani changamoto ndogo namna hiyo unakuja kulia lia jf? Wangekuwa ni wazazi wako ungelalamika kiivo? Yaani umenichefua sana. Be a real man
Acha drama wewe huyo ni kijana anaanza maisha kwanza amepanga alafu maboya wanakuja kujaa ndani... sema huwezi elewa maana unaishi kwa shemeji
 
EmptyJealousFeline-size_restricted.gif
 
Wakuu mimi ni mkazi na mzaliwa wa Dar es Salaam maeneo ya Tegeta, tatizo langu kuu mpaka nimekuja kuomba ushauri ni mke wangu kawakusanya ndugu zake na wazazi wake toka kijijini huko Mpwapwa. Yani imekua kero mi mwenyewe ndio natafuta maisha lakini nyumbani tupo jumla watu tisa pamoja na wazazi wake, nyumba yenyewe nimepanga nyumba viwili na sebule.

Sina raha hata kujiachia na mke wangu siwezi, mwezi wa nne huu hata mzigo sijala maana asubuhi nimeenda kazini, nikirudi jioni watu wamejaa na usiku wanalala sebuleni wengine chumbani.

Nimevurugwa kijana mwenzenu pesa yote ninayopata ambayo tungenunua hata kiwanja inaishia kwenye chakula na wanakula mno. Mke wangu nimejaribu kumwambia awambie ndugu zake na wazazi warudi kijijini lakini hataki eti anatamani awe nao karibu ili akibahatika kupata mtoto wamsaidie kulea.

Ndugu zangu naomba ushauri nifanye nini, nikimbie nyumba au niwafukuze mimi mwenyewe.

Rafiki yangu mmoja alinishauri labda nimtongoze mama mkwe lengo achukie aondoke na mmewe lakini cha ajabu amekubali 😥😥😥😥

MNISHAURI SANA🙏🙏🙏🙏NASOMA COMMENTS ZOTE.
Wagogo hao huwa wanahamia ukoo mzima, lazima uwe nunda.
 
Sawa ni kuanza Lia matatizo,
Iwe kwenda WA ugali mboga za majani daily. Watachoka soon
Ila ukiendelea kuwawekea mboga Saba hawatahama hata uwachape
 
Hilo nalijua....

Ndo namimi nakuambia Sasa, UMLE NA WAJUE UMEMLA.

Au

Mpelekee moto MKEO..mpaka awe anatoa vilio vya sauti kuuu kama Ng'ombe anayenyonyesha arejeapo toka malishoni kuja kumnyonyesha mwanawe.

Au

Kama suala ni Kumla MKEO ,mengine unayamudu.... Basi muwe mnagongania Gest .

AU , KAA NAO ,WEWE KAMA WEWE KAMA MWENYE NYUMBA, MKUU WA KAYA , UWAMBIE JAMAAN WAZAZI WANGU, NINAWAPENDA SANA LKN KUNA MOJA MBILI TATU NNE TANOOO.

NA HAPA, UONGEE NAO NA HAKIKISHA WANAKUELEWA, BILA IVO, BASI WAONDOKE NA BINTI YAO.

AU .....

Fanya kama sadaka tu. Kubali kuumia .

Au.....

Mwambie Mkeo akupe Limbwata ambalo litakufanya uone hiyo shida, sio shida ni Rahaaa .
Awaambie tu anataka kufanya ukarabati wa nyumba so anaomba wapishe ujenzi😅 wasepe Dodoma kwa muda mpaka kipindi ambacho patatengemaa
 
Wakuu mimi ni mkazi na mzaliwa wa Dar es Salaam maeneo ya Tegeta, tatizo langu kuu mpaka nimekuja kuomba ushauri ni mke wangu kawakusanya ndugu zake na wazazi wake toka kijijini huko Mpwapwa. Yani imekua kero mi mwenyewe ndio natafuta maisha lakini nyumbani tupo jumla watu tisa pamoja na wazazi wake, nyumba yenyewe nimepanga nyumba viwili na sebule.

Sina raha hata kujiachia na mke wangu siwezi, mwezi wa nne huu hata mzigo sijala maana asubuhi nimeenda kazini, nikirudi jioni watu wamejaa na usiku wanalala sebuleni wengine chumbani.

Nimevurugwa kijana mwenzenu pesa yote ninayopata ambayo tungenunua hata kiwanja inaishia kwenye chakula na wanakula mno. Mke wangu nimejaribu kumwambia awambie ndugu zake na wazazi warudi kijijini lakini hataki eti anatamani awe nao karibu ili akibahatika kupata mtoto wamsaidie kulea.

Ndugu zangu naomba ushauri nifanye nini, nikimbie nyumba au niwafukuze mimi mwenyewe.

Rafiki yangu mmoja alinishauri labda nimtongoze mama mkwe lengo achukie aondoke na mmewe lakini cha ajabu amekubali [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

MNISHAURI SANA[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]NASOMA COMMENTS ZOTE.
Vumilia.... Hizo ndo tabia za wagogo!!
 
Yani kabisa watu wazima unatuandikia tustory twa kitoto hivi,au unajifunza comedy za maandishi?
 
Wakuu mimi ni mkazi na mzaliwa wa Dar es Salaam maeneo ya Tegeta, tatizo langu kuu mpaka nimekuja kuomba ushauri ni mke wangu kawakusanya ndugu zake na wazazi wake toka kijijini huko Mpwapwa. Yani imekua kero mi mwenyewe ndio natafuta maisha lakini nyumbani tupo jumla watu tisa pamoja na wazazi wake, nyumba yenyewe nimepanga nyumba viwili na sebule.

Sina raha hata kujiachia na mke wangu siwezi, mwezi wa nne huu hata mzigo sijala maana asubuhi nimeenda kazini, nikirudi jioni watu wamejaa na usiku wanalala sebuleni wengine chumbani.

Nimevurugwa kijana mwenzenu pesa yote ninayopata ambayo tungenunua hata kiwanja inaishia kwenye chakula na wanakula mno. Mke wangu nimejaribu kumwambia awambie ndugu zake na wazazi warudi kijijini lakini hataki eti anatamani awe nao karibu ili akibahatika kupata mtoto wamsaidie kulea.

Ndugu zangu naomba ushauri nifanye nini, nikimbie nyumba au niwafukuze mimi mwenyewe.

Rafiki yangu mmoja alinishauri labda nimtongoze mama mkwe lengo achukie aondoke na mmewe lakini cha ajabu amekubali [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

MNISHAURI SANA[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]NASOMA COMMENTS ZOTE.
Shida ya kuoa watu ambao hawajielewi hii.
 
Mkuu ni Bora uonekana mbaya.....Jumamosi Kaa zako sebleni wape taarifa kua jumapil usiku Kuna kikao....muda wa kikao waambie jamani mama mkwe na baba mkwe naomba mrudi kijijini...muda wenu wa kuishi kwangu umeisha.samahani kama ntakua nimewakawaza .... Na wengine ambao uwataki waambie.....ukimaliza wape nauli ingia chumbani lala....ukiamka asubui muulize mke wako ndugu zako wanaondoka sa ngap nkirudi nkute majibu.....ukiwa serious!!!
mmmmmh mdada... Mkaksi hivo?
 
Nilikuamini na story yako ila hapo uliposema umemtongozwa mama mkwe mmh siamini huo uthubutu umeutoa wapi? Eti amekubali chai hii.

Anyways pole ila jitahidi kumwambia mkeo aongee nao tu warudi kama akipata huyo mtoto basi atawaita baadhi tu si wote. Nakumbuka bibi yangu alivokua hapendi kukaa kwa watoto wake anasema mji wangu nimeuacha na mashamba naondoka. Kumbe kuna wazazi waoona fresh tu kuishi kwa mtoto tena anayeanza maisha vyumba 2 bila sababu yoyote kama wanaumwa wamekuja kutibiwa labda mmh[emoji2960]
Babe nikikuoa na wewe utanijazia familia yenu yote nyumbani?
 
Back
Top Bottom