Daaaah nimecheka Hadi nashangwaaa huku yani kakubali Mama mkwe, mpandishe cheo mkeo kuwa bi mkubwa.[emoji23][emoji23]
Anyway hayo matani, asalaam aleikhum kaka pole kwa hayo maswahibu.
Mosi, inaonekana labda unakajiuwezo kidogo ndio maana familia ya mkeo imeweka kambi hapo, kama ndiyo basi wape hata kamtaji wakafanye mishe mishe huko Kijijin kwao kwa maana kulisha watu nane kwa miez minne kwa Dar ni pesa ndefu sana.
Pili, umefanya mistake kumtongoza ma mkwe sijui unareverse vipi hii kitu, chakufanya we muulize vipi natamani uendelee kuwepo hapa tufaidi pezi letu akikuambia Bado yupo yupo hayo majanga fanya mpango piga chini.
Tatu, hao wakwezo Hawana adabu haiwezekan familia nzima ije kwako kwa huo muda wote ,nyumban ndogo hivi hawaoni??? Au ndo wale ndugu zetu wanaojitoboa macho wawe omba omba [emoji23][emoji23] hawajui kama nyumba ni ndogo
Nne na mwisho, suala la kula mzigo we hujaamua tu unaweza toka out na mkeo mkaenda hotelini mkamalizana hukoo