Wazazi na walezi sehemu za choka mbaya wanaona sifa mtoto kusoma shule za msingi walipo mbali na mjini

Wazazi na walezi sehemu za choka mbaya wanaona sifa mtoto kusoma shule za msingi walipo mbali na mjini

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
yani sisi choka mbaya tuna sifa kama walivo matajiri na skafu za bendera kusomea watoto wao ambao hawapo ulaya ila wapo Tz.

Sisi choka mbaya mtaa wa kaza moyo mfano dar pale shule kama olympio,bunge,muhimbili na ilala ndio sifa kwa wakazi Mbagara, Manzese, Tandale, Buguruni, Kino na maeneo ili mradi anapanda daladala au basi la mchongo.

Niko Kamanga ferry Mwanza naona watoto wa Sengerema wakisoma Mwanza Mjini kila siku wakipanda kivuko na kivuko hicho sio cha Kigamboni kama wasiofika.

Hii tabia ya sisi kumpeleka mtoto mbali kwa kuona sifa uwezo wa kipesa sio kwanini
 
Back
Top Bottom