LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #21
Heri yako wewe dada. Barikiwa Sana. Usiwe kama wenzako ambao wakipewa Hela wanakubalia hata kulala Na baba zao kama binti wa Yule marehemu WA BOT aliekuwa anasambaza ukimwi Kwa makusudi. Mbaya Zaidi akamuambukiza Na binti yake wa kumzaa mwenyewe.Naanzaje kumvulia pichu kaka angu hizo ni familia zilizolaanika na kukosa malezi sahihi.
Kikubwa Tu kama umeumbika usikae nusu uchi mbele ya kaka ako au baba ako.