Wazazi nchini wawaonya vijana wao kutothubutu kushiriki maandamano ya CHADEMA

We na Lucas akili moja. Sasa we mzazi sawa umenipa chakula umenisomesha. Je ni sawa nitekwe niuwawe?
acha uongo na upotoshaji gentleman,

umetekwa lini na unaonekana online tangu asubuh humu JF?

wew ndio wale matapeli wa kujiteka halafu mnpiga simu mtumiwe mipesa ee, alaa?
tafadhali acha mara moja hiyo utapeli tafadhali 🐒
 
hivi Mama Ima huvu Ima ni mwanao kweli na huyo mbaba wa watu au ulimbambikia mtu wa watu kwasababu ya njaa na maisha tu? ila wewe mama Ima umeshindikana?
Hao wazazi ni feki wanashindwa kuwaonya wasiojulikana wanao teka nakupoteza watu? Ama kudhurumu haki ya kuishi, wazazi wa matukio, (wazazi wa kyenye mikamera)
 
Nilivyosoma title nikajua ni Lucas Mwashambwa
 
Sema wazaz wako usitusemee sisi
usidharau, usikatae wazazi au walezi hata kama ni wazee sana au walemavu,

wazazi ni wazazi tu, wazazi ni neema na Baraka za Mungu, ukaidi na kiburi visije kukuponza acha dharau kwa wazazi, vitakutokea puani baada ya maandamano kama huyu tamaa za wachumba wa wenzie kilichomkuta🐒
 

Attachments

  • IMG-20240915-WA0014.jpg
    70.3 KB · Views: 1
Ccm wamefanya yao lengo kuwatisha wengine.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…