Wazazi nchini wawaonya vijana wao kutothubutu kushiriki maandamano ya CHADEMA

Na wazazi ambao watoto wao wametekwa, wameteswa na wameuawa unawaambia nini ewe mtetezi wa watekaji, watesaji na wauwaji? Au na wewe ni mmoja wao?
ni maswali muhimu mno wakaulizwa hao wazazi wenye uchungu sana na watoto wao,

ambao wanasiasa wahuni waliokosa na kufilisika hoja wanapanga kuwatumia vijana kufanya maandamano haramu yalopigwa marufuku...

wazazi wamesisitiza kwa watoto wao kujiepusha na kukaa kando kabisa na uharamia wa maandamano hayo haramu, waende kuandamana viongozi wa Chadema na watoto wao πŸ’
 
Hahaaa,hata na hivyo haya maandamano hayawahusu watoto wanaowategemea wazazi wao,sbb wanalishwa,wanalishwa nk.ni kwaajili ya waliopigika tu.
naona watoto makaidi kwa wazazi mnapeana moyo kama vile pwagu na pwaguzi dah πŸ’
 
Hao ni wazazi wawapi nchi inanuka ubaya kwa uchawa wenu wakushibisha matumbo yenu
unaleta mambo ya ubaya ubwela kwenye mambo ya msingi ya kitaifa gentleman? we ni mashabiki wa mnyama ee alaa πŸ’

na usithubutu kuandamana maandamano haramu, skiza wazazi wako wanasemaje sawa?πŸ’
 
Wazazi gani mbona mimi sijawakataza wanangu kuandamanaaa?????
 
Watekaji na wauaji mbona mnahangaika sana? Au mlipokuwa mnafanya huo ushetani wenu, mlijua mngewaua wote mliopanga kuwaua bila kukaripiwa?
gentleman,
asie skia la mkuu huvunjika guu kiburi, jeuri, ukaidi na mihemko isiyo na maana itakutokea puani, wazazi hua hawapuuzwi kwa dharau na dhihaka hivyo, shauri yako πŸ’
 
Wazazi gani mbona mimi sijawakataza wanangu kuandamanaaa?????
ambatana nao gentleman na itapendeza zaidi kushiriki maandamano hayo haramu yanayopingwa kila kona ya nchi na waTanzania wote kwa pamoja,

ambatana nao tu gentleman, ili ikiwa ni kuvunjika guu basi iwe ni kwa wote

maana kumbuka,
asie skia la mkuu huvunjika guu. and this is politics πŸ’
 
Naona jibwa linabweka huku mwenye nyumba akiwa katulia ndani
 
Yameharamishwa na nani ,maandamano ni halali mkuuu
 
Hivi CHADEMA wametoka nchi gani?
Kwa nini CHADEMA wanahofiwa?

Kwa mfano wakiandamana, nini kitatokea?
VIdeo clips na picha zitarushwa huko duniani na Nchi zingine zitaanza kumuelewa vibaya Rais wetu na Serikali kwa Ujumla

Mapolisi wetu hawataki hayo
 
Ccm walishawahi kumpa chakula cha kumlisha mtoto wake?
wazazi wameona mbali zaidi na wameamua kwa ukali sana,
kuwaonya watoto wao kuepuka kurubuniwa na wanasiasa wahuni ati washiriki maandamano haramu ya kihuni sana ya chadema
Sema mzazi siyo wazazi
 
wazazi hawa hawa wanao lalamika ajira hakuna hadi watoto walio wasomesha wanakuwa boda boda
ndio hao hao waliohangaika kuwasomesha kwa tabu sana wakawatafutia mashamba kwaajili ya fursa za kilimo Biashara, ufugaji n.k

ndio wazazi hawa hawa wanawasisitiza kila mara rudini nyumbani vijijini kwenu si mmeshamaliza shule mnang"ang"ana nini mijini na yale mashamba kule kijijini yapo wamewatunzia....

ni wazazi hawa hawa wenye huruma tele na watoto wao hata wale waliokaidi ushauri wao wa kutothubutu kushiriki maandamano haramu ya Chadema miaka ya nyuma, ambapo baadhi yao walipata majeraha mabaya na wengine ni walemavu hata sasa kwasabb ya kukaidi maonyo na makatazo ya wazazi kushiriki maandamano haramu ya Chadema πŸ’
Naona jibwa linabweka huku mwenye nyumba akiwa katulia ndani
ni sawa tu,
kama wazazi wakiwakemea watoto wao kujiepusha na mambo maovu kama maandamano haramu ya Chadema,

na sasa wazazi hao wamekua au wanaonekana ni Mbwa, basi ni sawa tutaona itakavyokua πŸ’
 
Ccm walishawahi kumpa chakula cha kumlisha mtoto wake?

Sema mzazi siyo wazazi
actually,
ni wazazi, kwababu walikua wengi na vijana pia walikuwepo wa kutosha...

Infact,
wazazi wengi wa sasa ni zao la CCM, kwamba ni CCM imawakuza hadi wakawa zazazi hata leo hii wanawapatia vijana wao mawaidha mujarabu kwasabb wanawapenda sana πŸ’
 
VIdeo clips na picha zitarushwa huko duniani na Nchi zingine zitaanza kumuelewa vibaya Rais wetu na Serikali kwa Ujumla

Mapolisi wetu hawataki hayo
pwagu na pwaguzi mnapeana moyo sio,🀣

kukaidi mawaidha, maonyo na makatazo ya wazazi kuhusu kushiriki maandamano haramu ya Chadema πŸ’
 
Kalale wewe mwoga lala na akina bibi kokoo Acha wanaume wagangamare nchi inyooke!
Haki ya kukusanyika ni ya kikatiba na hakuna aliye juu ya katiba.
Watu dhalimu watatuuwa kadhaa LAKINI hawataiua spirit ya kujikomboa mioyoni mwa watu jasiri nyuma yawale waliowadhulumu maisha!!
Woga,wavivu na ujinga kama wewe utafanya taifa liteketee mikononi mwa fyongoz wasio na maana.
Hatuwezi wote kuishi maisha yako ya woga na kujipendekeza Kwa wauaji
 
sawa kaidi, jeuri na mwenye kiburi, puuza na kubeza tu mawaidha, ushauri, hekima na busara za wa wazazi wako kuhusu kutothubutu kushiriki maandamano haramu ya Chadema...

tutaona faida ya mihemko yako huko mahabusu na baadae huko hospitali ukiwa unachachemea na unatembea upande upande na katiba tutakuletea huko kitandani ukiwa hujiwezi uisome vizuri zaidi na ghadhabu zako πŸ’
 
Unajua Kila kitu. Kwa siku Moja unafungua nyuzi sita!! .

Hujiamini? Huna hoja? Kwanini nyuzi sita na zote Zina mtizamo unaofanana?

Aibu
 
nadhani,
hilo nalo ni swali muhimu sana wakaulizwa wazazi wenyewe,
ambao ndio wenye uchungu mkubwa na maisha ya watoto wao kuwekwa rehani na chadema kwenye maandamano haramu
Nakumbuka nimesikia Maandamano yanafanyikia Dar! Kwani na huko Zanzibar yanafanyika?

Wasihi hao wazazi wa Kizanzibar watulie tu!! Maandamano ni huku Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…