Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Mtoto wa kitanzania hata akifika miaka 25, akili zake na mindset zake ni sawa sawa na mtoto wa miaka 12 wa ki-Japani, watoto wetu huchelewa kukua akili japo mili inaongezekaMtoto akifikisha miaka 18 huyo sio mtoto sababu kashakuwa huru wa kufanya maamuzi nini anataka kwenye ndoto yake.
kuna mada nyingi hapa jf nikiona wazazi wakiomba ushauri mtoto asome nini ?
kwa nini wazazi tusiwape uhuru wa kujua wanataka nini na kuwashauri kuliko kulazimisha wasome wasicho kitaka au unataka wawe kama yule gori la mkono.
Nina mtoto form six shuleni kureport anapelekwa na mama yake, wakifunga anakwenda kufatwa na mama yake.Mtoto akifikisha miaka 18 huyo sio mtoto sababu kashakuwa huru wa kufanya maamuzi nini anataka kwenye ndoto yake.
kuna mada nyingi hapa jf nikiona wazazi wakiomba ushauri mtoto asome nini ?
kwa nini wazazi tusiwape uhuru wa kujua wanataka nini na kuwashauri kuliko kulazimisha wasome wasicho kitaka au unataka wawe kama yule gori la mkono.
mbna mim siko ivyo 😂😂, jokes tuMtoto wa kitanzania hata akifika miaka 25, akili zake na mindset zake ni sawa sawa na mtoto wa miaka 12 wa ki-Japani, watoto wetu huchelewa kukua akili japo mili inaongezeka