ROHAN_
Member
- Mar 10, 2023
- 43
- 48
we call it getting ''knowledge'' with'' laughter''Msiangalie katuni, rudini kwenye UMIZIMU na UNYAGO.
Watoto wote wapelekwe unyagoni wakajifunze kulea mume. Hiyo ndio safi.
Katuni hazina maadili, watoto wetu wanajifunza denda.
Denda ni mbaya, inahatarisha uchumi wa nchi.