Wazazi sikiliza kwa makini: Mwanaume aliyehukumiwa kwa kosa la kulawiti watoto ahojiwa na kueleza mbinu anazotumia kurubuni watoto

Wazazi sikiliza kwa makini: Mwanaume aliyehukumiwa kwa kosa la kulawiti watoto ahojiwa na kueleza mbinu anazotumia kurubuni watoto

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
IMETAFISIRIWA

Jack Rynolds alitumikia kifungo kwa miaka zaidi ya 12 gerezani kwa kosa la kulawiti wavulana wadogo hasa wenye miaka 11 hadi 14, hapa anatoa ushuhuda wake kwa vigezo vonavyotumika zaidi kuchagua aina ya wavulana na mbinu.

===
Tafsiri siyo ya moja kwa moja;

Swali la mwandishi: Kulikuwa ma vigezo fulani ambavyo ulikuwa ukiangalia kabla wa kuwalawiti?

Jibu la Jack Rynolds: Kwa watoto ndio, lakini niliangalia pia familia zao, kama nikihisi baba ni hatari basi sitamfuata mtoto, kama niliona mtoto ana marafiki ambao anaweza kuwaambia (kuhusu ninachotaka kumfanya) sitamfuata pia, kama niliona mtoto ana marafiki ambao wanaendana naye huyu nitamfata, kwa sababu hii; kama nikimlawiti yeye ninaweza kumshawishi kuamini kwamba atafurahia kitendo hicho, hivyo ninaweza kumlaghai akawaleta marafiki zake kwangu niwalawiti pia.

Swali la mwandishi: Kwahiyo unamaanisha mtoto ambaye hana marafiki wengi, au ambaye hatatoka kwenye familia bora.

Jibu kutoka kwa Jack Rynolds: Ndio lakini pia ambao hawana misingi ya kidini (kiimani), wenye elimu ndogo, ambao wanahitaji kusaidiwa kwenye mambo kadhaa, hata kwa wale ambao wazazi wao wametangana, unakuta yuko na mama ambaye ana matatizo na familia yake, mimi nikija kuingilia naonekana kama shujaa wake (kwa mama) kusaidia kwa changamoto ambazo atakuwa anapitia, ambapo nitatoa msaada zaidi akiwa anataka kwenda kupumzika anaweza kuniachia watoto wake kwa uangalizi, inafanya kazi (mchakato wa kuwapata watoto na kuwalawiti)
 
Hata fisi wanawala wätoto simba ikiwa dume ayupo karibu nao.....
 
Huyu ni basha maana yake alikuwa hatumii nguvu ni madogo wenyewe wanampa tako na huko ushoga ni kawaida.

Anahojiwa hana noma sema nini haya mambo bwana nyie mnaoyaleta ndio mnayasambazaaa.
 
Huyu ni basha maana yake alikuwa hatumii nguvu ni madogo wenyewe wanampa tako na huko ushoga ni kawaida.

Anahojiwa hana noma sema nini haya mambo bwana nyie mnaoyaleta ndio mnayasambazaaa.
Ni zaidi ya ushoga, ni kulawiti watoto na kuwaharibu kisaikolojia.

Haya mambo hata kwetu yapo na yanaongezeka kwa speed kali sana, Sehemu zinazoongoza zikiwa Dar, Tanga, Pwani na Zanzibar

Ukiwa unafuatilia habari, majina kama Faki faki hayawezi kuwa mageni.
 
Back
Top Bottom