uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Uko kazini unampigia simu mzazi mtoto wako anaumwa mzazi atakwambia tafuta boda umpakie aje nyumbani .
Unapambana unamfikisha hadi nyumbani mtoto yuko hoi badala yake wewe (mwl) ndiye unaonekana mwenye hofu na afya ya mtoto mzazi ni kumfokea mgonjwa hadi, dah unaamua kuaga na maneno ya kawaida "akiwa sawa atakuja shule"