Wazazi tumefeli wapi katika malezi ya watoto wa "2000" tujisahihishe

BInafsi naona hata dada zao wanatamani sana na wengine hawana shida kabisa kuachia tupu zao za nyuma, sema wenyewe wana aibu angalau kulikoni vischana vya kisasa.
Nafikiri PORNOGRAPHY ina mchango mkubwa sana kwenye hili, maana zinatufanya tuone kama ni kitu tu cha kawaida tu. Wanawake wanataka na wanaume pia wanataka, akipatikana wa kulianzisha basi Imeisha. Mungu atunusuru
 
Mimi naona wa kulaumiwa sana ni sisi wanaume, wanaume ndo tunaongoza kuwaomba wadada kinyume na maumbile, wanaume wote tukiacha hii tabia, hamna mdada atathubutu kutuomba tuwaingilie kinyume na maumbile

Imagine kuna wanaume wanabembeleza wadada, na kutoa madau makubwa kuanzia million 2 ili tu wapewe jicho G.Man
 
Hangaika na watoto wako. Wa wenzio waachie wenzako.

Wewe wako wanatumia line ngapi?
 
Sio wote wanafanya hivyo vitendo tatizo ni kwamba Mtu akiwa anafanya ufedhuli fulani hufikiri kwamba Dunia nzima inafanya hivyo pia,

Ndomaana mwizi hata akikaa na mtu wa kawaida hujilinda sana asiibiwe kwani huhisi kwamba kila mtu ni mwizi mwenzake, ujinga wa watu wachache usijumuishe kwa watu wengi.
 

Sioni tija yeyote ya kujadili uzi huu. Mtu yeyote 18+ anao uhuru wa kuamua mambo yake ya faragha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…