Acha tu,malengo yote lzm yapoteeNi kweli Mkuu kama kuna free sex na free UTI je UKIMWI kwanini usiwe free!?
Kabisa mkuuKweli,ukweli useme!
Waandaji wa hizo house party si wanajulikana tena wengine ni machawa wa mamaHakuna anayejali... inaumiza sana mkuu
Mwee ā¹ļøWaandaji wa hizo house party si wanajulikana tena wengine ni machawa wa mama
Sahv kila jambi likifanyika kuna mgongo wa mama ,mama mitano tenaaa
Ova
ccm ndiyo inayapenda mambo haya ,mfumo inafurahia hali hiiMh Gwajima mpaka atazeeka mambo yalivyo mengi
Naunga mkono hoja
Huko ndo mtandao wa ngono ni mkubwa balaa! Watu wanafanya ngono balaa plus kutoa mimbaHuyu waziri yuko binafsi hata heshima yake ila hao vijana wa sasa wenye kauli za hakuna Mungu sio rahisi kuoambana nao ,hata hizo zinazofanyika chuoni ni hatari kwa maadili ya mtanzania.
Kuna moja ilifanyika tbtWengine ni watoto wa wazito