Wazazi tumsaidie kazi Mheshimiwa Dorothy Gwajima

H
Mh Gwajima mpaka atazeeka mambo yalivyo mengi

Naunga mkono hoja
Huyu mama tutampa ugonjwa wa moyo sasa ๐Ÿ˜ƒ Wizara itakuwa kama ndo familia yake
 
tatizo wazazi wa leo nut zimekatika lkn hili ni la muhimu kwelikweli,tukumbushe mabinti kwa vijana kuna magonjwa baada ya hii michezo ya kifirauni
Ni kweli Mkuu kama kuna free sex na free UTI je UKIMWI kwanini usiwe free!?
 
Waandaji wa hizo house party si wanajulikana tena wengine ni machawa wa mama
Sahv kila jambi likifanyika kuna mgongo wa mama ,mama mitano tenaaa

Ova
Mwee โ˜น๏ธ
 
Huyu waziri yuko vizuri binafsi hata heshima yake ila hao vijana wa sasa wenye kauli za hakuna Mungu sio rahisi kupambana nao ,hata hizo zinazofanyika chuoni ni hatari kwa maadili ya mtanzania.
 
Waandaji wa hizo house party si wanajulikana tena wengine ni machawa wa mama
Sahv kila jambi likifanyika kuna mgongo wa mama ,mama mitano tenaaa

Ova
Wengine ni watoto wa wazito
 
Huyu waziri yuko binafsi hata heshima yake ila hao vijana wa sasa wenye kauli za hakuna Mungu sio rahisi kuoambana nao ,hata hizo zinazofanyika chuoni ni hatari kwa maadili ya mtanzania.
Huko ndo mtandao wa ngono ni mkubwa balaa! Watu wanafanya ngono balaa plus kutoa mimba
 
Dar usiku yenyewe ni sodoma na gomorrah tuuuu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ