Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

HAKIMI Angekua ndo kaomba talaka,
Ungekua sahii, ila kwasababu MKE ndo kaomba, Tena Bila kukumbuka watoto kakimbilia kwny Mali, Bila shaka alistahili alichopata[emoji4]
🤣🤣🤣🤣
 
Mzazi yeyote timamu anqsomesha watoto wote Mungu aliomjalia bila kubagua.

Watu tunafurahia hilo jambazi lililojificha katika mwamvuli wa ndoa kukwa.ma kumpora Hakim nusu ya mali kwa kutumia sheria.
 
Kwani aliyeomba talaka ni nani hapo?

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Simple useme kataa ndoa Kila mtu apambane kivyake
 
Na atakaye baki kuteseka ni mwanamke yuleyule
 
Unamshangaa nini Hakimi? Alishamsoma mkewe kuwa si mjengaji ila ni mchumaji (gold digger), ndio maana akajipanga mapema kumchezea shere. Hii ndio dawa ya wanawake wote wanaoingia kwenye mahusiano kwa tamaa ya mali za muoaji!
 
Umewahi kuishi ulaya au Marekani? Unajuwa ni kwa nini Christian Ronaldo hana ndoa mpaka leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…