Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le Mutuz kakimbia child support Marekani, tena pesa inakatwa juu kwa juu.Yaan😔 mambo magumu kweli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanini unataka kupata kwa mume?! kwanini usiwe na vyako? ili mkiachana,mnakaa mezani...haya mwenzangu,nina milioni kumi na wewe una milioni nane....haya pasu kwa pasu....si ndo Beijing conference lengo lenyewe!then mnaangalia, watoto utaratibu unakwendaje kuhusu malezi yao.Sisi wenye watoto wa kiume wala hatuna Cha kupotezaa...Kama mfumoo ndio huoo..nitakosaa kwa mume nitapata kwa mtoto[emoji28][emoji28][emoji28]
Hii comment yako inaonesha kwa namna gani upo tayari kwenda miles ili tu mwanaume aonekane si mtu mzuri....Wanaume wanachekelea saiv ila ndo furaha ya single mothers ilipo mtoto akikua anamuamini zaidi Mama yake kuliko Baba yake
Dada Jambazi wapo wengi hao, ukijichanganya tu umeliwaWatu tunafurahia hilo jambazi lililojificha katika mwamvuli wa ndoa kukwa.ma kumpora Hakim nusu ya mali kwa kutumia sheria.
Anaeruhusu iwe hivyo ni Baba, maelezo ni mengi Ila ukweli ndio huoWanaume wanachekelea saiv ila ndo furaha ya single mothers ilipo mtoto akikua anamuamini zaidi Mama yake kuliko Baba yake
JambaziMi naona Hakimi mapema tu alishamsoma mwenzake ni mwanamke wa aina gani
Kuna huu msemo, marriage is over rated.... sijui tafsiri ya kiswahili chake ila.....
Kuna muda huwa nawaza, jinsia ya Ke na Me ukiondoa mapenzi (upendo wa kweli), washitamaniana huelewana sababu ya tendo la ngono, baada ya hapo kila mtu anashika hamsini zake.
Ingekuwa hivi, aidha kila mloja awe anaishi kwake au manishi nyumba moja kubwa iwapo mnataka watoto mtaozaa wawaone wote pamoja ila ili amani, furaha, heshima viwepo mnakubaliana......
Kila mtu anatafuta mali zake
Mnachangia nusu kwa nusu kulea watoto, hapa mnakubaliana mahala pa kuwahudumia (shule, hospitali, vacation) n.k.
Siku mna hamu ya kutiiiiiiana mnabeneka kisha kila mtu anaendelea na taratibu za kujiwekeza kifedha.
Hamna wivu wa kijingajinga, kila mwenye jambo lake akalifanyie mkoa mwingine au nchi nyingine kabisa....
Wote mkiwa na amani, maelewano kisha muwe marafiki, mtadumu hadi magego yaishe.
Alamsiki.
Cc: Kasie
Ulifuta nikaona hapana haujatutendea haki mkuu kwanini ufute maneno mazuri hivyo ni matumizi mabaya ya ubongo,Mbona umeniita kwenye maneno niliyoandika ?
Kuna jambo?
Ulifuta nikaona hapana haujatutendea haki mkuu kwanini ufute maneno mazuri hivyo ni matumizi mabaya ya ubongo,
Sawa sawaHabari ndio hiyo, sasa hivi wanawake wasome wafuate ndoto zao wafanye kazi au biashara wanazozitaka, hakuna tena kufuata ndoto za mume
Kila mtu awe busy kutafuta pesa zake, mwanamke hata akiondoka asubuhi na kurudi usiku hatakiwi kuulizwa wala kulalamikiwa sababu naye anatafuta pesa zake, ili mwisho wa siku wakiachana naye awe na chake asidai cha mumewe
Na wanaume waache kelele za oo mke wangu hanipikii hanifulii hanipetipeti wala hanijali kama anavyowajali watoto, maana kumbuka naye yuko busy kama wewe anatafuta pesa zake, hapo ndoa ndio zitakuwa rahisi