Wazazi vaeni viatu vya wazazi wenzenu, inaumiza sana

Na nadhani ndicho kilichotokea,inaonekana binti ugumu wa maisha umechangia kwa asilimia kubwa

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Sema mabinti wa siku hizi tamaa zimewajaa..... Wanataka kuishi maisha ya anasa ilhali hawana uwezo....
 
Sometimes tunakuwa judgemental kwa kutoelewa mazingira. Chuo kwa binti ambaye hana pesa ni mtihani mzito unless awe kama wale wapambanaji, anasoma chuo kama anajishikiza huku akihangaika na biashara zaidi ambapo kwa watoto wa kike wenye spirit hii ni wachache sana

Kwanza mabinti wangapi wanapokea boom lakini bado wanakula vichwa mjini ili wapate high life na bado hawaathiriki. Huyo binti ni bahati mbaya yake na Mungu amsaidie maana ukimwi si kitu kikubwa kama miaka hiyo. Saa hii ni kuishi tu
 
Watoto wa sasaivi mtihani hasa hawa mabinti wana tamaa sana
 
mimi mtu atakaefanya hivi kwa binti yangu na nikajua, nitamteketeza kwamoto apate maumivu ninayopitia.
Tatizo linakuja pale binti yako anaposhindwa kujua alemfanyia (kumuambukiza) baada ya kuwa na mwenza zaidi ya mmoja.

Siku hizi ngono hasa kwa mabinti wa chuo ni njia ya kujiingizia kipato. Utakuta binti mmoja ana mabwana zaidi ya watano na wote anafanya nao ngono.

Kikubwa ni kumuasa binti yako mapema athari ya kila jambo na kumfunza kuridhika na unachompa. Yaliyobaki ni kumuachia Mungu na uelewa wa binti yako.
 
Wazee hatutumii vumbi la Congo, kazi kiasi malipo makubwa.

Hawa vijana bado umri Mdogo lakini energy atakunywea, k-vant na vumbi juu, sasa mnakwenda vitani au mnakwenda kustarehe?

Kitu cha msingi ni kujari afya kwa kutumia kinga au kupima kabisa.

Mbona sisi tukiwala mashangazi over age hatuwasimangi?
 
So sad πŸ˜”πŸ˜”,, ila mabinti wanapitia magumu vyuoni Mungu tu awasaidie kwakweli πŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈ

Bado lecturers na usidhani wote wapo salama, wengine wameungua na binti akimkataa. Chuo atakiona jehanum

Kwa wanaolaumu labda hawajapita chuo, sidhani kama kuna sehemu ambayo uchafu wa kila aina upo kama vyuoni.

Ila humu kila mtu msafi kwamba 24/7 wapo makini na hata walipokuwa vyuoni, hawakuwahi kuuza mechi au kudate na city girls ambao kwao kukufanya side niga ni kugusa😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…