Wazazi vaeni viatu vya wazazi wenzenu, inaumiza sana

Wazazi vaeni viatu vya wazazi wenzenu, inaumiza sana

Huyo binti ajaribu kuvaa viatu vya watoto wa huyo baba maana huyo binti anamrubuni huyo baba kiasi kwamba anashindwa kuhudumia familia yake vizuri. Huyo binti ameenda kusoma au kuchuna wanaume za watu? Sio vizuri
 
Kabla ya kutaka kuonewa na huruma na mtu baki jionee huruma wewe mwenyewe,binti wa miaka 18 na mzee wa miaka 50 inaingia akilini?
Wakukuonea huruma ni mama yako na si mwingine,jukumu la kujitunza lipo mikononi mwako either abstain ama be careful

Pole binti kwa kupenda vya bure

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Pole
Sasa jamii inataka mabinti kama wewe

Au wazazi km wewe ndo walee mabinti..

Mwanamke sio mjinga au victim flani ambaye ana akili nusu...

Na hili ndo lakuwafundisha mabinti zetu
 
Unajiumiza akili bure, tusitumie kisingizio cha uhaba wa fedha kuhalalisha tamaa zinazoendekezwa na wadogo zetu, wengi wao wanapenda wanajiendekeza kwa wazee kwa tamaa na kutaka aina ya maisha ambayo kimsingi hawezi kuyamudu binafsi!

Tena hawa wa vyuoni kuwatafuna imekua rahisi kuliko kawaida hawataki kuskia condom sasa unamsaidiaje?

Anyway tumpe pole binti aliyekumbwa na mkasa huo asitegemee huruma kwa mwathirika maana wanakuaga wanyonge kwa muonekano wa nje lkn deep down ni mashetani kbs
 
Hapa kwenye uchumi ndio tatizo,kuna mahitaji mengi anayohitaji,kuna vyuo binafsi,kama vya Afya,vinaagiza Rim(karatasi za mitihani)karibia tatu,kila moja 20000,wanaagiza gloves box 3 au zaidi,kila moja karibia 35000,Taulo karibia tatu,na bado yeye mwenywe ana matumizi ya ziada,sabuni,dawa ya msuaki,ped,nk,atapata wapi vyote hivyo,na wazazi ni maskini.
Ndio akikutana na mtu wa kumdanganya,kumsaidia,ana muamini.
Vyote hivyo vinatakiwa kila mwaka.
Hili wengi hawaliangalii...mahitaji Yao ni mengi sana....Ni Mungu tu anawasaidia
 
Pesa huwa wanakuwa nazo sema za kuishi maisha ya anasa ndo hazipo
Wapo ambao nimekutana ni kweli hawana hela mkuu. Kuna mtu katokea familia maskini kiasi akipata boom anatuma hela nyumbani na kusomesha ndugu zake..
Kwa watoto wa kiume huwa wanajimix mjini au kuwa na skills za kuwatengenezea pesa Ila kwa wa kike ni wachache huwa na spirit hiyo mkuu
 
Wapo ambao nimekutana ni kweli hawana hela mkuu. Kuna mtu katokea familia maskini kiasi akipata boom anatuma hela nyumbani na kusomesha ndugu zake..
Kwa watoto wa kiume huwa wanajimix mjini au kuwa na skills za kuwatengenezea pesa Ila kwa wa kike ni wachache huwa na spirit hiyo mkuu
Kwaiyo wanaamua kurahisisha maisha
 
Naamini hii ni tungo ifananayo na ukweli
Sipo vizuri kwenye kutunga hadithi ila kama nilichoandika umekiita tungo nitafikiria upya namna yakuingia kwenye hiyo tasnia. Uzuri wengi wa wachangiaji wanafahamu maisha ya vyuo yalivyo na mabinti zetu. Nilichoandika ndo ukweli labda tu nilisahau kuandika kuwa huyu binti pia ni MZAMZITO!
 
Kwaiyo wanaamua kurahisisha maisha
Sio kurahisisha maisha, ndivyo wengi walivyolelewa kamini kuwa mwanaume ndio mtu wa kumrahisishia maisha ndio maana mwanamke anaona kuhudumiwa ni stahiki yake,

Sikubaliani nako lakini sioni wanachokifanya kama kina tofauti yoyote na wanawake wengine wanaoolewa ili kupata urahisi wa maisha maana wote wanatumia wanaume kupata security
 
Back
Top Bottom