Wazazi vaeni viatu vya wazazi wenzenu, inaumiza sana

Wazazi vaeni viatu vya wazazi wenzenu, inaumiza sana

Bado lecturers na usidhani wote wapo salama, wengine wameungua na binti akimkataa. Chuo atakiona jehanum

Kwa wanaolaumu labda hawajapita chuo, sidhani kama kuna sehemu ambayo uchafu wa kila aina upo kama vyuoni.

Ila humu kila mtu msafi kwamba 24/7 wapo makini na hata walipokuwa vyuoni, hawakuwahi kuuza mechi au kudate na city girls ambao kwao kukufanya side niga ni kugusa😁😁😁
Aisee,,,,asa nini kifanyike kuwalinda hao watoto jamani 🤦‍♀️
 
Nawasalimu nyote,

Jana ni siku ambayo sitaisahau kutokana na story yakusikitisha niliyosimuliwa na binti wa miaka18. Binti huyu ni mwanafunzi wa mwaka wakwanza katika moja kati ya vyuo vikuu maarufu hapa nchini. Aliripoti chuoni Mwezi October Mwaka jana akionekana mtoto mtulivu na mwenye heshima zake.

Kama mjuavyo, vyuoni kuna mchanganyiko wa wanafunzi waliotoka sekondari moja kwa moja na wale ambao wametoka makazini waliokuja kwa lengo lakujiendeleza(In-service).

Sasa kumbe haka kabinti kalikutana na mwanaume mtu mzima(in-service) ambaye alikarubuni wakapanga chumba na kuishi pamoja kama mtu na mwenza wake.Kwa maelezo yabinti nikwamba huyu mwanaume ana zaidi ya miaka48.

Baada ya likizo fupi ya kumaliza semester ya kwanza, wapenzi hawa walitawanyika kila mmoja akienda nyumbani, binti alirudi kwa wazazi huku mwanaume akienda kwa mke nawatoto wake.

Shida imeanza baada ya likizo ambapo binti alitangulia kurudi huku jamaa akiahidi kurudi siku za mbeleni kidogo. Muda umeenda jamaa harudi huku binti akiishi maisha yashida kwani alikuwa anamtegemea yule mwanaume kwa kila kitu ikiwemo kodi ya chumba.

Jana nimemkuta mahali analia anadai baada yakuona anaumwa mara kwa mara ilibidi aende hospital ambapo amekutwa na magonjwa ya ngono ikiwemo VVU/UKIMWI.

Taarifa zauhakika kutoka kwa wanaomfahamu huyo mzee nikwamba ni mgonjwa wa miaka mingi na kutokana na sababu zakifamilia amesitisha masomo hatarudi tena chuoni.

Kilichoniuma binafsi nikwamba naamini mzee kama huyu hakosi binti wa umri kama huyo aliyemharibia kesho yake kwa makusudi. Alishindwaje kuvaa viatu vya mzazi mwenzake ambaye alitumaini kuwa elimu anayompa binti yake itaenda kumfaidisha siku zijazo? Ni vipi angejisikia endapo binti yake angefanyiwa unyama kama huo na mzee mwenzake?

Mwisho; Watoto wa kike mkienda vyuoni kumbukeni yale maneno mnaoambiwa na wazazi/walezi wenu.
Umaskini wetu watu weusi ndio husababisha vishawishi.

Life ni tough kwa familia nyingi tu
 
Ndio lakini huyo miaka 18 bado hana akili kiivyo...kwanini mtu mzima na akili zako umshawishi mtoto mdogo kama huyo jamani🤦‍♀️🤦‍♀️
binti wa miaka 18 hana akili ya kumkwepa mbaba??

unanishangaza rafki yangu, na mnapenda kusema wanawake wanawahi kujielewa kuliko wanaume...

huku chuo nilipo wengi wanaliwa na malecturer kisa kupewa majibu ya mitihani na vipesa kidogo, ila wapo wanaojielewa anasa wanafanya ila kwa makini
 
Tatizo mabinti wana tamaa sana mbona wenzao boys wanastahamili utakuta kijana kakondeana anakula mlo mmoja kwa siku lakini anakomaa
Sasa boys hawezi kulelewa kirahisi ndomaana.

Boys hatongozwi kirahisi.
Huyo mwanamke mwenye uwezo wa kifedha mpaka amuaproach boys mdog mwanafunzi ni kitu ambacho ni nadra sana.
 
binti wa miaka 18 hana akili ya kumkepa mbaba??

unanishangaza rafki yangu, na mnapenda kusema wanawake wanawahi kujielewa kuliko wanaume...

huku chuo nilipo wengi wanaliwa na malecturer kisa kupewa majibu ya mitihani na vipesa kidogo, ila wapo wanaojielewa anasa wanafanya ila kwa makini
Inaumiza sana aisee,,, wewe mtu mzima unajua kabisa una ukimwi halafu unamla mtoto wa watu kavu...hizo ni akili kweli au tu kukomoana
 
Sasa boys hawezi kulelewa kirahisi ndomaana.

Boys hatongozwi kirahisi.
Huyo mwanamke mwenye uwezo wa kifedha mpaka amuaproach boys mdog mwanafunzi ni kitu ambacho ni nadra sana.
Hamna ni tamaa tu
 
Kwani ugumu wa Maisha upo kwa Wanawake tu?

Hawa Wanawake wa Tz nikama wajinga wa mwisho hawana akili ya kuwaza decent future unabidi kujua Nini unafanya na Nini haufanyi life is not easy umasikini wa kwanza ni fikra mfu ...unashindwa vipi kuvumilia Hadi uanze kutembea na wanaume mbona wanafunzi wa kiume hawawi mashoga , hawajiuzi hawaibi na bado wanatoboa.
 
Aisee,,,,asa nini kifanyike kuwalinda hao watoto jamani 🤦‍♀️
Hakuna namna zaidi ya kuwapa mahilaein yao kadri inayowezekana, kuwafanya wajitambue lakini kuepuka kuwabana kupitiliza maana wengi wanaochanganyikiwa ni wale unaokuta toka azaliwe, uhuru ndio ameupata chuoni. Hii ni kwa jinsia zote,

Unakuta kila kitu anakiparamia 😁
 
Nilivokuaga chuo nilikua navionea huruma vitoto vya diploma havina mikopo vijana wa degree ni okota twende

Maisha haya jaman
 
Huwez kuwazuia watu kutamani ama kutimiza makusudi yao,ni wajibu kwa mabinti kuyashinda majaribu,na ukweli mchungu haiwezekani hata wapewe seminar kwa siku mara tano ila hawawez elewa pale wakiona pesa mbele ya macho yao
 
Wazee hatutumii vumbi la Congo, kazi kiasi malipo makubwa.

Hawa vijana bado umri Mdogo lakini energy atakunywea, k-vant na vumbi juu, sasa mnakwenda vitani au mnakwenda kustarehe?

Kitu cha msingi ni kujari afya kwa kutumia kinga au kupima kabisa.

Mbona sisi tukiwala mashangazi over age hatuwasimangi?
Mmmh

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Sometimes tunakuwa judgemental kwa kutoelewa mazingira. Chuo kwa binti ambaye hana pesa ni mtihani mzito unless awe kama wale wapambanaji, anasoma chuo kama anajishikiza huku akihangaika na biashara zaidi ambapo kwa watoto wa kike wenye spirit hii ni wachache sana

Kwanza mabinti wangapi wanapokea boom lakini bado wanakula vichwa mjini ili wapate high life na bado hawaathiriki. Huyo binti ni bahati mbaya yake na Mungu amsaidie maana ukimwi si kitu kikubwa kama miaka hiyo. Saa hii ni kuishi tu
Pesa huwa wanakuwa nazo sema za kuishi maisha ya anasa ndo hazipo
 
Watoto wakike awawezi kukuelewa kabisa
Na ndomana lawama inabidi zirudishwe tena kwa mwanaume..

Mpaka siku tutayowafundisha watoto wa kike kuwa responsible maamuzi yao na kwamba wao sio victim ndo tutapata jamii ya watu wanaojielewa
 
Back
Top Bottom