Ndio lakini huyo miaka 18 bado hana akili kiivyo...kwanini mtu mzima na akili zako umshawishi mtoto mdogo kama huyo jamani🤦♀️🤦♀️hapa lawama inaenda kwa wote wawili.... binti kuishi na mbaba wa miaka 48 si sawa kabisa
Aisee,,,,asa nini kifanyike kuwalinda hao watoto jamani 🤦♀️Bado lecturers na usidhani wote wapo salama, wengine wameungua na binti akimkataa. Chuo atakiona jehanum
Kwa wanaolaumu labda hawajapita chuo, sidhani kama kuna sehemu ambayo uchafu wa kila aina upo kama vyuoni.
Ila humu kila mtu msafi kwamba 24/7 wapo makini na hata walipokuwa vyuoni, hawakuwahi kuuza mechi au kudate na city girls ambao kwao kukufanya side niga ni kugusa😁😁😁
Umaskini wetu watu weusi ndio husababisha vishawishi.Nawasalimu nyote,
Jana ni siku ambayo sitaisahau kutokana na story yakusikitisha niliyosimuliwa na binti wa miaka18. Binti huyu ni mwanafunzi wa mwaka wakwanza katika moja kati ya vyuo vikuu maarufu hapa nchini. Aliripoti chuoni Mwezi October Mwaka jana akionekana mtoto mtulivu na mwenye heshima zake.
Kama mjuavyo, vyuoni kuna mchanganyiko wa wanafunzi waliotoka sekondari moja kwa moja na wale ambao wametoka makazini waliokuja kwa lengo lakujiendeleza(In-service).
Sasa kumbe haka kabinti kalikutana na mwanaume mtu mzima(in-service) ambaye alikarubuni wakapanga chumba na kuishi pamoja kama mtu na mwenza wake.Kwa maelezo yabinti nikwamba huyu mwanaume ana zaidi ya miaka48.
Baada ya likizo fupi ya kumaliza semester ya kwanza, wapenzi hawa walitawanyika kila mmoja akienda nyumbani, binti alirudi kwa wazazi huku mwanaume akienda kwa mke nawatoto wake.
Shida imeanza baada ya likizo ambapo binti alitangulia kurudi huku jamaa akiahidi kurudi siku za mbeleni kidogo. Muda umeenda jamaa harudi huku binti akiishi maisha yashida kwani alikuwa anamtegemea yule mwanaume kwa kila kitu ikiwemo kodi ya chumba.
Jana nimemkuta mahali analia anadai baada yakuona anaumwa mara kwa mara ilibidi aende hospital ambapo amekutwa na magonjwa ya ngono ikiwemo VVU/UKIMWI.
Taarifa zauhakika kutoka kwa wanaomfahamu huyo mzee nikwamba ni mgonjwa wa miaka mingi na kutokana na sababu zakifamilia amesitisha masomo hatarudi tena chuoni.
Kilichoniuma binafsi nikwamba naamini mzee kama huyu hakosi binti wa umri kama huyo aliyemharibia kesho yake kwa makusudi. Alishindwaje kuvaa viatu vya mzazi mwenzake ambaye alitumaini kuwa elimu anayompa binti yake itaenda kumfaidisha siku zijazo? Ni vipi angejisikia endapo binti yake angefanyiwa unyama kama huo na mzee mwenzake?
Mwisho; Watoto wa kike mkienda vyuoni kumbukeni yale maneno mnaoambiwa na wazazi/walezi wenu.
binti wa miaka 18 hana akili ya kumkwepa mbaba??Ndio lakini huyo miaka 18 bado hana akili kiivyo...kwanini mtu mzima na akili zako umshawishi mtoto mdogo kama huyo jamani🤦♀️🤦♀️
Sasa boys hawezi kulelewa kirahisi ndomaana.Tatizo mabinti wana tamaa sana mbona wenzao boys wanastahamili utakuta kijana kakondeana anakula mlo mmoja kwa siku lakini anakomaa
Inaumiza sana aisee,,, wewe mtu mzima unajua kabisa una ukimwi halafu unamla mtoto wa watu kavu...hizo ni akili kweli au tu kukomoanabinti wa miaka 18 hana akili ya kumkepa mbaba??
unanishangaza rafki yangu, na mnapenda kusema wanawake wanawahi kujielewa kuliko wanaume...
huku chuo nilipo wengi wanaliwa na malecturer kisa kupewa majibu ya mitihani na vipesa kidogo, ila wapo wanaojielewa anasa wanafanya ila kwa makini
Hamna ni tamaa tuSasa boys hawezi kulelewa kirahisi ndomaana.
Boys hatongozwi kirahisi.
Huyo mwanamke mwenye uwezo wa kifedha mpaka amuaproach boys mdog mwanafunzi ni kitu ambacho ni nadra sana.
ndo hivo mkuu... na ukifkiria njia ya kuzuia haya matukio hupatiInaumiza sana aisee,,, wewe mtu mzima unajua kabisa una ukimwi halafu unamla mtoto wa watu kavu...hizo ni akili kweli au tu kukomoana
Hakuna namna zaidi ya kuwapa mahilaein yao kadri inayowezekana, kuwafanya wajitambue lakini kuepuka kuwabana kupitiliza maana wengi wanaochanganyikiwa ni wale unaokuta toka azaliwe, uhuru ndio ameupata chuoni. Hii ni kwa jinsia zote,Aisee,,,,asa nini kifanyike kuwalinda hao watoto jamani 🤦♀️
Tukusaidiaje labda kwa mfano?
Mwanafunzi wa Chuo ni mtu mzima anajuwa anachokifanya.
Ulichokifuata chuoni ndicho utakachokipata.
Fundisheni mabinti wenu waache tamaamimi mtu atakaefanya hivi kwa binti yangu na nikajua, nitamteketeza kwamoto apate maumivu ninayopitia.
MmmhWazee hatutumii vumbi la Congo, kazi kiasi malipo makubwa.
Hawa vijana bado umri Mdogo lakini energy atakunywea, k-vant na vumbi juu, sasa mnakwenda vitani au mnakwenda kustarehe?
Kitu cha msingi ni kujari afya kwa kutumia kinga au kupima kabisa.
Mbona sisi tukiwala mashangazi over age hatuwasimangi?
Pesa huwa wanakuwa nazo sema za kuishi maisha ya anasa ndo hazipoSometimes tunakuwa judgemental kwa kutoelewa mazingira. Chuo kwa binti ambaye hana pesa ni mtihani mzito unless awe kama wale wapambanaji, anasoma chuo kama anajishikiza huku akihangaika na biashara zaidi ambapo kwa watoto wa kike wenye spirit hii ni wachache sana
Kwanza mabinti wangapi wanapokea boom lakini bado wanakula vichwa mjini ili wapate high life na bado hawaathiriki. Huyo binti ni bahati mbaya yake na Mungu amsaidie maana ukimwi si kitu kikubwa kama miaka hiyo. Saa hii ni kuishi tu
Na ndomana lawama inabidi zirudishwe tena kwa mwanaume..Watoto wakike awawezi kukuelewa kabisa