Wazazi wa Azory Gwanda wamuomba Rais Samia asaidie kupatikana kwa mtoto wao

Nyumbu ni wanafiki sana,ni genge la msog pia.
Nabila shaka yumbu wanalipwa posho kuwa chafua viongozi wazalendo.

Konda amewashika ma....lio Sasa mnajifanya kurewind mambo yasiyo eleweka ilikujaribu kuchafua watu wanao pambana na majizi ya kodizetu.
Ccm imepambane na majizi?? Vichekesho hivi.
 
Yule jamaa alikuwa mnyama, hakuwa na roho ya ubinadamu. Angekuwepo mpaka Leo, hadithi za Hisanni Habre wa Chad zingehamia huku Tanzania.
Acheni visingizio, yule jamaa hayupotena pambaneni na konda wadaladala.

Hataivyo hongera kwa kumiliki kasri kule migombani mkuu.
 
Ipo siku Mungu atashusha radi nyingine....
 
Acheni visingizio, yule jamaa hayupotena pambaneni na konda wadaladala.

Hataivyo hongera kwa kumiliki kasri kule migombani mkuu.

Asante mkuu nashukuru. Kuna linguine nataka nijenge mjini kati pale la ghorofa hamsini. Bado wananizungusha kibali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…