Matumizi mabaya ya emojiKumekucha [emoji28][emoji28][emoji28]
Wakati wa zamani watu wakienda vitani hapakuwa na feedback ya katikati ya vitaNi heri uchunguzi ufanyike na familia waambiwe jambo Moja tu kuwa mtoto wao kafariki ili familia ijue kuliko kuendelea kukaa kimya
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
America huwa wakali kuhusu haki za binadamu unapowanyima rasilimali za Nchi au kukataa kutumika kwaoUzuri ubalozi USA wana data zoote nakumbuka balozi wao akienda kuteta na mke wa Azory....Kibiti waliongea mengi sana...Ubalozi una siri zote .....ni muda tuuu.....damu mtu asiye hatia italipwa hapa hapa..
Alikuwa iblisMagufuli ulaaniwe uliko
Hivyo hiyo justfication watu wetu wauawe bila sababu utawala unaojinasibu ni wa haki na democracy? Huyo angekuwa baba yako sidhani ungeongea hivyo ......acha cheap politics kwenye uhai wa watu.....unaua ili iweje ? Eti utawale mwandishi habari anakuzuia nn wewe kutawala ? Utaua wangspi .....baada kytoka mafarakani....utajisikiaje? Shame on u allAmerica huwa wakali kuhusu haki za binadamu unapowanyima rasilimali za Nchi au kukataa kutumika kwao
Kagame anapiga chuma watu wake daily na maisha yanaendelea kama kawa
Kashoghi kule Uturuki alikatwa kichwa kama Kuku na kuchunwa ngozi kabisa na maisha yanasonga
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Yaani wewe kapuku kichwani ujue undani halafu sisi wenye akili tusijue !Pia Angalieni na upande mwingine huwezi jua hata Kama Ni Serikali ilishiriki kupotea kwake kulikuwa na Nini mpaka ikawa hivo? Pia msikimbilie Sana kulaumu vitu msivovijua undani wake.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Dah!...inasikitisha sana hili jambo mpaka sasa limeishia hewani.Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda , mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao , kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa
View attachment 2818764
Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza .
CCM haijui hayoIla binadamu tunajisahau sana. Wenzetu mliobahatika kupata vyeo tumieni hekima.
Unapofikiria kumfanyia mtu ubaya kumbuka kuna watu tegemezi nyuma yake!
Vyeo na mamlaka vina mwisho!
Kuna watu watakufa vifo vibaya sanaWazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda , mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao , kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa
View attachment 2818764
Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza .
Hakika
Amina...πππHawa Wazee wamedhulumiwa sana Mtoto wao, Allah awalipie hiki kisasi iwe funzo kwa madhalimu popote walipo
Just tell them that their Son is no more.Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda , mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao , kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa
View attachment 2818764
Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza .
Upande mwingine upi huo ?... sisi hatuujui tuambie wewe kama unaujua.Pia Angalieni na upande mwingine huwezi jua hata Kama Ni Serikali ilishiriki kupotea kwake kulikuwa na Nini mpaka ikawa hivo? Pia msikimbilie Sana kulaumu vitu msivovijua undani wake.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Na chadema mtapewa mafuta ya chopa..Serikali inanunua magoli ya Yanga
Sidhani.aiseh,sidhani mi sidhani aiseh kabisaa ni muda mrefu sana!Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda , mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao , kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa
View attachment 2818764
Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza .