Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda , mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao , kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa
View attachment 2818764
Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza .
Ana mzigo wa kwenda hahaHao wazazi hatarini kupotezwa na aliyempoteza mtoto wao Azory Gwanda. Huyu makalio makubwa karudi mjini kwa kazi yake moja tu.....kuteka na kuua.
Kama Katiba inakuwa ngumu kupatikana,Taarifa ya Lissu kuwaona Madaktari wake Nairobi ulitaka ifichwe ili iweje ? halafu habari ile na hii na kuulizwa Makonda jukwaani kuhusu kuhusika na shambulio la Lissu vina uhusiano gani ? na kwanini ulitaka habari hizi zisiandikwe , ulitaka kuficha nini ?
Ushauri : Badala ya kupenda Rais mkali na katili , penda Rais anayefuata sheria , Magufuli hapaswi kuungwa mkono hata na shetani
Huyo jamaa amekufa, short story.
Mwananchi kama ofisi zake za mwisho, iwape stahiki za azory hao wazazi. Si samia.
Huyu jamaa atakua hata kazikwa, kwa shughuli za kibiti enzi zile. Wameshamzika huyo.
Mwananchi publishers wawape pesa hao wazee. Wao ndio walimtuma, aljazeera mpka leo, wanatunza familia za waandishi wao.
Jizi gani utapambana naye kwa maigizo ya kupanda punda? Sema pale ni muhalifu kapata platform ya kijisafisha.Nyumbu ni wanafiki sana,ni genge la msog pia.
Nabila shaka yumbu wanalipwa posho kuwa chafua viongozi wazalendo.
Konda amewashika ma....lio Sasa mnajifanya kurewind mambo yasiyo eleweka ilikujaribu kuchafua watu wanao pambana na majizi ya kodizetu.
Waelezwe tu alikufa kwenye majukumu ya kazi. Aliingia Kibiti kichwa kichwa.Magufuli ulaaniwe uliko
Kama alikuwa ana shida basi Magufuli ilikuwa wajibu wake kumpangusa hata kama na yeye alikufa. Ingekuwa ajabu angemuacha.Kazi chafu za Magufuli hizo. Alidhani yeye ataishi milele
Kama Letanyahu na Biden. Anaua watoto wa kipalestina kumbe na wao yatakufa tuKazi chafu za Magufuli hizo. Alidhani yeye ataishi milele
Inaumiza mnooo mno! Pole Kwa Wazazi wetu, pole Kwa familia ya Azori, pole TanzaniaWazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda , mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao , kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa
View attachment 2818764
Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza .
Magu alihusika vipi na kifo Cha azory embu tukumbushe uhusika wa magu kwa upotefu wa bwana yuleKazi chafu za Magufuli hizo. Alidhani yeye ataishi milele
Alimpoteza kama alivyofanya kwa Ben na alivyojaribu kwa LissuMagu alihusika vipi na kifo Cha azory embu tukumbushe uhusika wa magu kwa upotefu wa bwana yule
Ni Mpambavu tu hawezi jua uhusika wake.Magu alihusika vipi na kifo Cha azory embu tukumbushe uhusika wa magu kwa upotefu wa bwana yule
Serikali siku zote imeshindwa, ila Mwananchi alianza kwenda kukusanya ripoti, hata kabla serikali wala jeshi halijaingilia kati.Kwamba wauwaji hapa hawawajibiki siyo?