Wazazi wa Azory Gwanda wamuomba Rais Samia asaidie kupatikana kwa mtoto wao

Wazazi wa Azory Gwanda wamuomba Rais Samia asaidie kupatikana kwa mtoto wao

Huyo jamaa amekufa, short story.
Mwananchi kama ofisi zake za mwisho, iwape stahiki za azory hao wazazi. Si samia.
Huyu jamaa atakua hata kazikwa, kwa shughuli za kibiti enzi zile. Wameshamzika huyo.
Mwananchi publishers wawape pesa hao wazee. Wao ndio walimtuma, aljazeera mpka leo, wanatunza familia za waandishi wao.
 
Taarifa ya Lissu kuwaona Madaktari wake Nairobi ulitaka ifichwe ili iweje ? halafu habari ile na hii na kuulizwa Makonda jukwaani kuhusu kuhusika na shambulio la Lissu vina uhusiano gani ? na kwanini ulitaka habari hizi zisiandikwe , ulitaka kuficha nini ?

Ushauri : Badala ya kupenda Rais mkali na katili , penda Rais anayefuata sheria , Magufuli hapaswi kuungwa mkono hata na shetani
Kama Katiba inakuwa ngumu kupatikana,

Wananchi tunataka Dictator, nikisema Dictator labda ni lugha ngumu!!

Wananchi tunataka kiongozi mkali.

Hatutaki watu soft ambao wanaotumia lugha ya DEMOKRASIA kuuza na kugawa raslimali zetu Kwa wageni.

CHADEMA msipoenda na matakwa hayo ya wananchi na kukumbatia DEMOKRASIA Uchwara, KAZI mnayo.

Niweke wazi, Chama kitakachoweka mgombea mwenye kaliba ya Magufuli, Mzalendo mtetezi wa raslimali za umma, Pan Africanist ndicho kitakacho chagulika.
 
Alisemaje Prof wa J L L N?

IMG_20210806_053407_437.jpg
 
Huyo jamaa amekufa, short story.
Mwananchi kama ofisi zake za mwisho, iwape stahiki za azory hao wazazi. Si samia.
Huyu jamaa atakua hata kazikwa, kwa shughuli za kibiti enzi zile. Wameshamzika huyo.
Mwananchi publishers wawape pesa hao wazee. Wao ndio walimtuma, aljazeera mpka leo, wanatunza familia za waandishi wao.

Kwamba wauwaji hapa hawawajibiki siyo?
 
Nyumbu ni wanafiki sana,ni genge la msog pia.
Nabila shaka yumbu wanalipwa posho kuwa chafua viongozi wazalendo.

Konda amewashika ma....lio Sasa mnajifanya kurewind mambo yasiyo eleweka ilikujaribu kuchafua watu wanao pambana na majizi ya kodizetu.
Jizi gani utapambana naye kwa maigizo ya kupanda punda? Sema pale ni muhalifu kapata platform ya kijisafisha.
 
CHADEMA DEMOKRASIA ya maigizo,

Badala kuandamana mkishirikiana na kina Mwabukusi tuwafurushe walilouza Bandari zetu,

Ninyi mnatuambia Eti wananchi tusubiri wezi wetu kwenye Sanduku la kura!!!

Narudia tena, wananchi hawataki DEMOKRASIA Uchwara linapokuja suala la kulinda raslimali za Nchi yetu.

Kiongozi mzalendo wa kaliba ya Magufuli ndiye chaguo la wananchi 2025.

Na tunaoona mbali, Dicteta mwingine yuaja,

Na akikaa amekaa, itakuwa kama Nchi Jirani hapo.
 
Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda , mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao , kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa

View attachment 2818764

Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza .
Inaumiza mnooo mno! Pole Kwa Wazazi wetu, pole Kwa familia ya Azori, pole Tanzania
 
Ziara ya Mwenezi kanda ya ziwa inawanyima usingizi Chadema wanahaha mikutano wameacha kufanya kazi kubwa wanayofanya sasa ni kufukua makaburi tu

2025 sio mbali Chadema badilikeni
 
Kwamba wauwaji hapa hawawajibiki siyo?
Serikali siku zote imeshindwa, ila Mwananchi alianza kwenda kukusanya ripoti, hata kabla serikali wala jeshi halijaingilia kati.
Obvious, Mwananchi awajibike kuwapa chochote hawa wazee. Serikali ifatilie imeshindwa miaka yte iliyopita 3 yrs waweze leo?.
Sometimes muwe mnasoma nakuelewa sio mnapinga tu kila comment.
 
Back
Top Bottom