Mwenyewe alikiri hivyo kwa kusema alikuwa jalalani.
Moja wa maprofesa wapuuzi kuwahi kutokea duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja wa maprofesa wapuuzi kuwahi kutokea duniani
Wewe inaonekana ni miongoni mwa hao mashetani. Na hutakosa malipo ya ushetani wako.basi amepata alichokuwa anatafuta.
Kuteka na kuua watu.ushetani gani?kuwawazi
Pacome na Max haoooo,kiongoziKwa hizi shobo ungekuwa demu ningekuomba utelezi
Ulikuwa wapiHebu weka historia fupi ya huyó gwanda watu tujue.alipoteapoteaje?
"Disappeared and dead" - mzee aliyetolewa dampo.Poleni sana Wazazi wa Azory Gwanda. Ni vema Serikali ikawasaidia.
Hebu weka historia fupi ya huyó gwanda watu tujue.alipoteapoteaje?
Ariyebarikiwa kabarikiwa. Mwamba Jiwe Magufuli alibarikiwa ndio maana akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Babaako asiyelaaniwa alikuwa nani au ni nani nchi hii? Pumbavu!!!Magufuli ulaaniwe uliko
Panic !Ariyebarikiwa kabarikiwa. Mwamba Jiwe Magufuli alibarikiwa ndio maana akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Babaako asiyelaaniwa alikuwa nani au ni nani nchi hii? Pumbavu!!!
MUNGU NDIYE SHAHIDI, MALAIKA WA BWANA ANAJUA NA AKATULETEA HABARI
Sad...Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda , mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao , kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa
View attachment 2818764
Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza .