Wazazi wa Azory Gwanda wamuomba Rais Samia asaidie kupatikana kwa mtoto wao

Wazazi wa Azory Gwanda wamuomba Rais Samia asaidie kupatikana kwa mtoto wao

Magufuli ulaaniwe uliko
Ariyebarikiwa kabarikiwa. Mwamba Jiwe Magufuli alibarikiwa ndio maana akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Babaako asiyelaaniwa alikuwa nani au ni nani nchi hii? Pumbavu!!!
 
Kuna jambo la kujifunza hapa. Vizee kama hivi vilitumia kila asset kukusomeaha.

Unamaliza masomo unajifanya domokaya, mpwayukaje eti mwanaharakati halafu unapotea bila hata kuwasaidia wazazi wako kitanda na godoro.

Kwanini usishughulike na kubadili maisha ya wazazi wako kwanza?

Pumbavu sana Azory Gwanda.


Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
MLETENI TUMUUE....!

1.kulia ni Kibaka machachari Mkoani Arusha,Mkazi wa Unga limited anaitwa ALLY DANGOTE (19)

Kushoto ni Kibaka mwenzie Hashim Kibwerezi

2.Alikamatwa baada ya mtego wa Polisi Jamii wa mitaa mitatu ya
1.Polisi Jamii wa Kwa baniani
2.Polisi Jamii wa Kanisani
3.Polisi Jamii wa Tindigani

3.Walipowakamata wakawapeleka kwa mwenyekiti wa Mtaa Bw. Abubakar Seif.

4.Mwenyekiti wa mtaa Bw. Abubakar Seif akawapeleka Polisi kituo cha kati Arusha na kuwakabidhi wakiwa wazima wote wawili.

5.Jioni ya leo ndugu walijulishwa kuwa waende wakachukue Maiti zao monchwari.

6.Wananchi wamemimika Chumba cha Kuhifadhia maiti wanaingia na Kuhakikisha kama Kweli ALLY DANGOTE amefariki.

Duuuuhhhh kuua imekuwa kazi nyepesi Kiasi hiki..? Mbeleni italeta shida tu kujua yupi Jambazi yupo siyo Jambazi kwa hao wanaojua Kuua.

Binafsi naona bora wangeuwawa na wananchi wenye hasira kali kama kweli ni wauaji au watu hatarishi kuliko kuhalalisha polisi Kuua watuhumiwa.

SO SIMPLE YANI,HAKUNA NOMA.
20231122_034103.jpg
20231122_034116.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom