Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Halina adabu ni litoto!ila pamoja na yote lakini unakosea sana kumuita mtoto wa mtu "litoto"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halina adabu ni litoto!ila pamoja na yote lakini unakosea sana kumuita mtoto wa mtu "litoto"
Wakati mwingine unabanwa mkuu,inakuwa haina jinsi!Nenda lodge acha kupenda mteremko kufikia kwa watu. Hivi huoni aibu kuanzia asubuhi hadi jioni unajichekesha tu hapo?
Nenda lodge zipo hadi za elfu 10.
Kweli watu wanatofautiana maoni aiseehHapo sijaona usasa utakuta mtoto bado mdogo anachezea ndani geti kali kwa usalama na kuangalia katuni ndo vinamuweka ndani na wanajifunza vitu vya utoto wao Kama wakubwa wanavyoangalia mpira, sasa mtu mzima yupo ugenini anataka kushindana na mtoto kuangalia TV kwanini usisaidie wenyeji kazi wewe ulilie kuangalia TV Ili mtoto asiangalie katuni?
Hata taarifa ya habari mkuu tuwe kwenye cartoon tuu!?Hapo sijaona usasa utakuta mtoto bado mdogo anachezea ndani geti kali kwa usalama na kuangalia katuni ndo vinamuweka ndani na wanajifunza vitu vya utoto wao Kama wakubwa wanavyoangalia mpira, sasa mtu mzima yupo ugenini anataka kushindana na mtoto kuangalia TV kwanini usisaidie wenyeji kazi wewe ulilie kuangalia TV Ili mtoto asiangalie katuni?
[emoji23][emoji23][emoji23] km naukumbuka hivi'Mkuu hujawahi kusoma uzi unaomhusu Junior hapa?
Laiti ungeuona huo Uzi usingeshindwa kumkabili huyo Junior
Ndiyo tabia za Sabaya hiziHaya ni makosa tunayoyafanya wazazi,mwisho wa siku mtoto akiendelea na malezi haya,itamghalimu ukubwani,maana akiwa na wenzake atataka afanye anavyotaka,sasa akikumbana na upinzani kwa wengine ataona kama anaonewa ndo maana wahenga walisema;Samaki mkunje angali mbichi,akisha nyauka Hakunjiki!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie ndo yule anko mkorofi
ambaye nikifika junia anatafuta usingizi
Wakina junior wanaaibisha na wanatia hasiraNimekuja kibiashara hapa mjini kahama nikaona si mbaya nifikie kwa jamaa yangu ambaye tunatoka sehemu mmoja anaishi na familia yake hapa hatimaye nimefika amenipokea vizuri nashkuru ukweli yuko vizuri hongera zake mambo si haba kapanga apartiment nzima anausafiri istoshe ni mwajiriwa wa kampuni mojawapo hapa mjini
mke kamfungulia biashara ya Min Supermarket kwa hiyo si Mama wa kushinda nyumbani na wamebarikiwa Mtoto mmoja wa kiume.
Sasa hapo ndo kwenye shida hapa nyumbani wana Dada wa kazi wanaishi naye huyu Mtoto sasa nitabu kwakweli siku nimefika tu alikuapo Mama mtoto litoto acha lin'gan'ganie kiti nilicho pewa nikalilie. Eti kiti changu toka toka nakulialia hovyo kiufupi toto limeishi kudekezwa sana yani balaa tupu mpaka kanipa kiti kingine nikalie et yani huyu Mtoto shem hebu njoo ukae hapa.
Nilishwangazwa sana kiukweli nilijiskia hasira sana, humo ndani sasa wawepo wasiwepo ni mwendo wa kuangalia midoli nakatuni kwenye TV ole wako utoe litakavyo bweka na Wazazi wanaenjoy tu asubui mpaka jioni tunaangalia katuni tu kiufupi toto lina lelewa kama yai.
Nimechukizwa sana na hii hali mara nyingine sitamani tena kufikia hapa nilitaka kuwashauli nikajiongeza tu hapa hamna la maana Wazazi wenyewe wamekaa kisasa sana.
wanaishi kama wazungu.
Kwenu wana Jamvi
BoraMkuu mimi nipo kwa mjomba wangu hapa Chattle wiki ya tatu hii naangalia Nickelodeon na Cartoon network natamani nipate hata dakika 10 niangalie ITV labda ntakuta Tundu lissu anahutubia lakini JUNIOR kashikilia remote
ila pamoja na yote lakini unakosea sana kumuita mtoto wa mtu "litoto"
Nimekuja kibiashara hapa mjini kahama nikaona si mbaya nifikie kwa jamaa yangu ambaye tunatoka sehemu mmoja anaishi na familia yake hapa hatimaye nimefika amenipokea vizuri nashkuru ukweli yuko vizuri hongera zake mambo si haba kapanga apartiment nzima anausafiri istoshe ni mwajiriwa wa kampuni mojawapo hapa mjini
mke kamfungulia biashara ya Min Supermarket kwa hiyo si Mama wa kushinda nyumbani na wamebarikiwa Mtoto mmoja wa kiume.
Sasa hapo ndo kwenye shida hapa nyumbani wana Dada wa kazi wanaishi naye huyu Mtoto sasa nitabu kwakweli siku nimefika tu alikuapo Mama mtoto litoto acha lin'gan'ganie kiti nilicho pewa nikalilie. Eti kiti changu toka toka nakulialia hovyo kiufupi toto limeishi kudekezwa sana yani balaa tupu mpaka kanipa kiti kingine nikalie et yani huyu Mtoto shem hebu njoo ukae hapa.
Nilishwangazwa sana kiukweli nilijiskia hasira sana, humo ndani sasa wawepo wasiwepo ni mwendo wa kuangalia midoli nakatuni kwenye TV ole wako utoe litakavyo bweka na Wazazi wanaenjoy tu asubui mpaka jioni tunaangalia katuni tu kiufupi toto lina lelewa kama yai.
Nimechukizwa sana na hii hali mara nyingine sitamani tena kufikia hapa nilitaka kuwashauli nikajiongeza tu hapa hamna la maana Wazazi wenyewe wamekaa kisasa sana.
wanaishi kama wazungu.
Kwenu wana Jamvi
Nimekuelewa sana mkuu nimejifunza kitu hapaMkuu, kwanza nakupa pole na maudhi katika nyumba ya watu ila nakushangaa karne hii kufikia kwa ndugu...ni heri ungelala lodge menu ndio ukapige kwa bro.anyways labda fungu lilibana..natumai hutarudia.
Pili nakubaliana na wewe kuwa malezi ya sasa ni shida sana. Wazazi wa sikuhizi ni dot.com..wakidhani kumpa kila kitu mtoto ndio kumpenda. Wazungu wameweza kutubrain wash ili tuharibu akili za watoto wetu. Kibaya..jamii kubwa inaona ni sawa kabisa..na unavyosema wengine hapa wanakuzomea. Ladba tu nitoe madhara machache wenye akili watafakari. Mtoto unaemlea kama junior, atapata madhara yafuatayo
-Mzigo katika mahusiano...atakuwa mtu anapenda kufanyiwa kila kitu ..maana ndivo alivojengwa tangu utotoni..hawa ndio waume ambao hupenda kulelewa..ama kutojali mwenzio bali yeye ndio hupenda kujaliwa..hii ni ngumu ktk kujenga mahusiano yenye afya.
- kujiona bora zaidi ya watu wengine na hivyo kushindwa kuwa na mahusiano bora na wenzake
- Ugumu kati kujituma; mtoto wa jinsi hiyo kashazoeshwa na wazazi kufanyiwa kila kitu..matokeo yake atakuwa mzigo katika familia na hasa ndoa mahali ambapo anatakiwa kujituma na kuijenga familia
- Shida katika kufanya maamuzi kwa sababu anaweza kuwa mtemi ktk anapofanya maamuzi..maana anajiamini kupitiliza..na wazazi wamemlea kuona matakwa yake ni command...hivo huwa mbishi sana kusikiliza ushauri wa wengine na hivo..kujikuta akifanya maamuzi ya hovyo
Wazazi tuwe makini na malezi ya hovyo!