Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
- Thread starter
- #21
mkuu una watoto?We kenge kweli acha wawalee hivyo hivyo tuendelee kumpata mbusus kwa urahusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu una watoto?We kenge kweli acha wawalee hivyo hivyo tuendelee kumpata mbusus kwa urahusi
Sina nina 24 yrs na sijawaza KUOA Wala kua na watotomkuu una watoto?
Anhaaa kumbe ni mmoja wa hawa kataa ndoa, ngoja siku1 ukojoleshwe samakiSina nina 24 yrs na sijawaza KUOA Wala kua na watoto
Njoo getoni mremboAnhaaa kumbe ni mmoja wa hawa kataa ndoa, ngoja siku1 ukojoleshwe samaki
hakuna kijana wa kike kwenye lugha yetu pendwa ya KiswahiliNimeona wababa wengi wa kisasa hasa hawa wenye vipato vya kubadilisha mboga aka middle-class wanawadekeza sana vijana wao wa kike (mabinti).
Sasa nachowaambia endeleeni ivoivo majibu mtayapata bdae.
Inajulikana, kiasili kijana wa kike anaenda sawa na baba kwa sababu ni ngumu au kuna uzito fulani kwa baba kumuadhibu kijana wake wa kike. Hii inasababisha kijana anakuwa upande wa baba zaidi, maana anajua kwa mama kwa moto.
Sasa mara nyingi wababa wanaingia kwenye huu mtego kwa kuwapa malezi ya "kimayaimayai" mabinti zao.
Sasa nipo hapa kuwahakikishia wababa, mnatengeneza mabomu ya bdae kwa malezi haya namna hii.
Kumbuka hapo unamtengeneza mke wa mtu wa hapo bdae.
Unamtengeneza mazahausi wa hapo bdae.
Unamtengeneza mama mkwe wa mtu wa hapo bdae.
Unamtengeneza wifi wa mtu wa hapo bdae.
Binti sio wa kudekezwa, tena kwa mimi unatakiwa kumkazia binti zaidi pengine kuliko hata dogo wa kiume maana kwa jamii zetu hizi ni hatari sana kuwa na mwanamke nyoronyoro.
Kama binti kaharibu apewe adhabu kama ambavyo ungempa kijana wako wa kiume na ikiwezekana msogeze zaidi awe kwa mamake wawekane sawa wenyewe huko.
Shida ilianzia apa🤔💸Nimeona wababa wengi wa kisasa hasa hawa wenye vipato vya kubadilisha mboga aka middle-class wanawadekeza sana vijana wao wa kike (mabinti).