Wazazi wa Mbunge Bashiru Ally, PhD

Wazazi wa Mbunge Bashiru Ally, PhD

Shing Yui

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
15,168
Reaction score
38,049
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu.
Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali.

Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
 
Hiyo picha yake iko wapi?
IMG-20210501-WA0002.jpg
 


Hapo pembeni namuona Mukama nae aliwahi kuwa katibu mkuu kwa muda ambae hakuwa na impact yeyote kwenye chama enzi ya utendaji wake!! Mtu wa kinywaji sana pale Budget!!! Mzee Kingunge alimbeba sana huyu nae akamlipa Kingunge kwa kumpa mkewe tender za kukusanya ushuru wa magari jijini Dar na pia Ubungo stand enzi hizo.!! Hiyo ndio ccm yenye wenyewe.
 
Ni Mtanzania Mwenzetu anasomeka kutokea Arusha japo ki asili kabisa Vizazi vyao vinatokea maeneo ya Ethiopia/ Eriteria

Huyu Mwamba alikuwa Kanali wa JWTZ enzi hizo hata Bashiru bado hajaanza form 1 Kilosa Secondari
Ana mahusiano yoyote ya kindugu maeneo ya Machame?
 
Back
Top Bottom