Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
ameonyesha uzalendo kuliko wewe kapuku unayesubiri akulinde.Kwa hio akiwa mwanajeshi ndio inakuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ameonyesha uzalendo kuliko wewe kapuku unayesubiri akulinde.Kwa hio akiwa mwanajeshi ndio inakuaje?
Sawa mke wangu,uko sawa.ameonyesha uzalendo kuliko wewe kapuku unayesubiri akulinde.
tangu uolewe unashinda mitandaoni kutafuta mabwana wengine. shika adabu yako.Sawa mke wangu,uko sawa.
mke wangu mtamu acha maneno.tangu uolewe unashinda mitandaoni kutafuta mabwana wengine. shika adabu yako.
Huyu ni jirani yangu kabisa pale Mogadishu mtaa wa IsmailiaMkuu hivi Kinana ni mwenyeji wa wapi? Au ni pure breed ya Kisomali?
CCM haijawahi kuwa na katibu mkuu boya kama Mzee Wilson Mukama nadhani huyu wa sasa Chongola anaweza akaikaribia hii rekodi ya mzee MukamaHapo pembeni namuona Mukama nae aliwahi kuwa katibu mkuu kwa muda ambae hakuwa na impact yeyote kwenye chama enzi ya utendaji wake!! Mtu wa kinywaji sana pale Budget!!! Mzee Kingunge alimbeba sana huyu nae akamlipa Kingunge kwa kumpa mkewe tender za kukusanya ushuru wa magari jijini Dar na pia Ubungo stand enzi hizo.!! Hiyo ndio ccm yenye wenyewe.
Halafu wahuni sio watu,
wakamuweka pemben ya Comrade Mwamba Abdulrahman Omar Kinana!
Kwahiyo Raia wa Tanzania halisi ni akina Job Ndugai 😂 Ndiyo maana ana uchungu na Tanzania🤣Kwa hio akiwa mwanajeshi ndio inakuaje?
uo u doctor alifoji au kasomea kweliBashiru Mnyarwanda alohamia ibwera akiwa na Mama anord
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu.
Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali.
Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
Ndio nini unalalamika sasa bashiruHawa ndo ndo watanzania. Maisha ya watu huwafanya wajifariji katika dhiki na majanga yao. Lakini bado hawatapata Amani ya ndani. Mana maisha hayo sio yao. Wakishatoka JF na kujiangalia tena wanajikuta wako vile vile na majanga yao. Wanaowazungumzia wana furaha na wanaendelea na maisha yao. Mana moyo wa mtu Ni zaidi ya Computer na unayoyaona kwa nje. Mungu Ibariki Tanzania.
Kwa nini usiseme watu wa Rwanda na Burundi wamefanana na Watanzania? Nakukumbusha kuwa Rwanda na Burundi zilimegwa kutoka "Tanzania" mara baada ya WW 1.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu.
Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali.
Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
Huu uliochomekea hapa ndio uhuni .Halafu wahuni sio watu,
wakamuweka pemben ya Comrade Mwamba Abdulrahman Omar Kinana!
Yaani hilo Bwege la kitutsi unasema lina akili nyingi?Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu.
Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali.
Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
Ni Mnyankole wa KatoroNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.