Wazazi wa Mbunge Bashiru Ally, PhD

Wazazi wa Mbunge Bashiru Ally, PhD

Kwani nini kimemkumba mkuu? Ina maana kaumia na msiba kuliko wafiwa wenyewe?
Mapito anayopita kibinadamu kutoka KMK kuwa mbunge viti maalum unaona ni jambo dogo, kutoka kuendesha vikao vya chama mpaka kutokuwa mjumbe, vikao vinafanyika dodoma wabunge wenzio wanahudhuria yeye anafuatilia TBC
 
Hiyo mbona kawaida tu?

Si walisema mpanda ngazi hushuka?

Mbona Mh. Kawawa (rip) alitoka uwaziri mkuu hadi waziri asiyekuwa na wizara maalumu bado akaendelea kudunda ofisini?
 
Hapo pembeni namuona Mukama nae aliwahi kuwa katibu mkuu kwa muda ambae hakuwa na impact yeyote kwenye chama enzi ya utendaji wake!! Mtu wa kinywaji sana pale Budget!!! Mzee Kingunge alimbeba sana huyu nae akamlipa Kingunge kwa kumpa mkewe tender za kukusanya ushuru wa magari jijini Dar na pia Ubungo stand enzi hizo.!! Hiyo ndio ccm yenye wenyewe.
Huyu alifanya kazi kubwa sana sema sio mtu wa jukwaani, huyu ndio alifyeka mtandao wote wa mamvi
 
Kwa taarifa yako,watu wa mipakani,hususani Kagera,maeneo ya ngara,mtukura,kyelwa wanafanana na watu wa nchi jirani,hata lugha zinafanana.
Ni kitu Cha kawaida,sasa ulitaka mzaramo afanane na Mganda,au mrundi kuliko mnyia wa Tunduma,au Muha wa kigoma?
Kwahiyo asili ya bashiru ni Rwanda?
 
Unawatakia nini bwashe au unataka kutambika?
Hapana, ninachotaka ni tuwe tunawajua watu vizuri kabla ya kuwapa madarakani usije kuta ni pandikizi la Kagame
 
Wengine tupo huku kusini karibu na msumbiji, ukiwauliza wengi wao utasikia babu yangu alitoka msumbiji, au baba alitoka msumbiji lakini yeye anajitambulisha Kama mtanzania, hayo mambo ya kupekua uraia wa watu wa mipakani ni umiza kichwa, ilimradi 9-12-1961 iliwakuta wakiishi tz basi ni watanzania
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu.
Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali.

Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
Una maana gani kuandika eti mtu mwenye akili nyingi? Kuna clip kwenye thread hii, kama hiyo ndiyo akili nyingi basi kuna haja ya kutafakari uzuri wa kuwa na akili nyingi (yaani mtu leo anasema hivi, kesho anabadili - eti hiyo ndiyo akili nyingi!)
 
Viongozi wa CCM sura zao zinatisha sana, zimekalia kikatili kabisa
 
UKARA.jpg
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu.
Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali.

Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
Siipend hyo salamu.acha tu
 
Machame na somalia wapi na wapi aisee?
ni kwamba mnataka tusiamini kuwa kuna Raia wa Tanzania wenye asili ya Somalia? kama walivyo Raia wa Tanzania (Wangoni) wenye asili ya South Africa, kama wamasai wa Kitanzania na wa kenya, kama wanyasa wa tz na malawi,kama wahindi wa india na watz, kama waajemi wa iran na tz (rostam), kama.....mlolongo mrefu balaa.

kinana alishawahi kuwa mwanajeshi aliyelitumikia taifa kuliko hata ninyi mnaopanua midomo. mtz halisi hapa tz ni mgogo peke yake, wengine wote wahamiaji.
 
Kwa hio akiwa mwanajeshi ndio inakuaje?
 
Back
Top Bottom