Picha tafadhaliHalafu wahuni sio watu,
wakamuweka pemben ya Comrade Mwamba Abdulrahman Omar Kinana!
Hakika huyu ni mnyarwandaView attachment 1769765
Huyu hapa
Mkuu hivi Kinana ni mwenyeji wa wapi? Au ni pure breed ya Kisomali?Halafu wahuni sio watu,
wakamuweka pemben ya Comrade Mwamba Abdulrahman Omar Kinana!
Mkuu hivi Kinana ni mwenyeji wa wapi? Au ni pure breed ya Kisomali?
Mbulu wa ArushaMkuu hivi Kinana ni mwenyeji wa wapi? Au ni pure breed ya Kisomali?
Hiyo picha yake iko wapi?
Huyu ni mwenyeji wa Somalia na ameshawahi kua naibu waziri wa ulinzi wa Tz.Mkuu hivi Kinana ni mwenyeji wa wapi? Au ni pure breed ya Kisomali?
[emoji23][emoji23][emoji23] uongo mtupu,Kwamba Kinana yeye ni mbulu lkn Bashe alizuiwa na wakina Makamba Senior kugombea ubunge kwamba yeye ni msomali.Mbulu wa Arusha
Huyu ni mwenyeji wa Somalia na ameshawahi kua naibu waziri wa ulinzi wa Tz.
Ana mahusiano yoyote ya kindugu maeneo ya Machame?Ni Mtanzania Mwenzetu anasomeka kutokea Arusha japo ki asili kabisa Vizazi vyao vinatokea maeneo ya Ethiopia/ Eriteria
Huyu Mwamba alikuwa Kanali wa JWTZ enzi hizo hata Bashiru bado hajaanza form 1 Kilosa Secondari
Machame na somalia wapi na wapi aisee?Ana mahusiano yoyote ya kindugu maeneo ya Machame?
Mkuu nina sababu ya kuuliza. Ngoja wajumbe watajibuMachame na somalia wapi na wapi aisee?