Wazazi wa Mbunge Bashiru Ally, PhD

Yaani hilo Bwege la kitutsi unasema lina akili nyingi?
History yake hii hapa [emoji116]


Bashiru alizaliwa Rwanda,na Baba mtusi na mama Mganda,(Baganda) akiwa na miezi Tisa, wazazi wake walivuka mpaka na kuingia Kagera ili kutafuta maisha,
Mbona wako wengi tu, hamsemi!
 
Yani mungu kumuondoa jiwe alifanya kitu cha maana kwa kua alileta vitu vya ajabu sana aisee !!
 
Huyu ni mwenyeji wa Somalia na ameshawahi kua naibu waziri wa ulinzi wa Tz.
Una uhakika na unayoyasema au ndiyo tena majungu? Mtu kuwa na asili ya pahali fulani siyo dhambi katika nchi hii, lakini ukisema ni mwenyeji wa nchi fulani hiyo ni tafauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…