Wazazi wa siku hizi wamewafanya watoto kuwa watumwa wa elimu

Wazazi wanaowakabidhi watoto wao wadogo wa miaka mitatu Hadi sita kubebwaa na bodaboda kwenda shule ni wapumbavu na wajinga
Tena wapumbavu wa hali ya juu.
 
Punguzeni kuzaa hovyo haya yote hayawezi kuyapata, African hasa watanzania wanaishi life style mbovu sana.
 
Punguzeni kuzaa hovyo haya yote hayawezi kuyapata, African hasa watanzania wanaishi life style mbovu sana.
Haina uhusiano wowote na kuzaa hovyo.
 
Wazazi wa aina hio wengi walikuw vilaza. Wameungaunga sana hadi kupata kielimu kwahio hawataki watoto wao wawe kama wao matokeo ya yake wanaishia kuwatesa.
Mkuu ni kweli ni ukosefu wa akili.
 
Ila wakati unasubir ubongo wake ukomae unamuanzisha masjid kwanza au sio?

Mimi wangu ana miaka mi5 Yuko KG2 namuamsha saa 12:45 asbhi na shule anaenda saa 1:30 na mara nyingi hapo mtaani yeye ndio mtoto wa mwisho siku zote kwenda shule na hapo anaposoma ni umbali wa dk 5 tu.
 
Nashangazwa sana na kuhesabu namba, mtoto anawahi akahesabu namba huku kuna wanaoamka saa11 wawahi kuhesabu namba dah!
 
shida ninayoiona ni hao wazazi kupeleka watoto wadogo shule za mbali, lazima tukubali kuwa mambo yamebadilika, nyakati hizi mama wa nyumbani hamna, na mbaya zaidi kumekuwa na changamoto nyingi sana kuhusu hawa wasichana wa kazi kiasi kwamba kimbilio la wazazi ni hizo Daycare

Sasa mzazi anaamka saa 12 kwenda kazini kwake analazimika kwenda na mwanae ili akamuache shule, kuhusu muda shule nyingi zinataka mtoto afike saa 1:30 asubuhi kwahiyo kama yuko mbali na shule ndio hayo ya kuamka saa 11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…