Wazazi wa siku hizi wamewafanya watoto kuwa watumwa wa elimu

Wazazi wanaowakabidhi watoto wao wadogo wa miaka mitatu Hadi sita kubebwaa na bodaboda kwenda shule ni wapumbavu na wajinga
Yaan jinsi wanavyoburuzwaa! Hadi unaona huruma kwa kweli.
 
Huo umri hauna shida ila utakuta mtoto anakaa kimara bonyokwa.. alafu shule anasoma ni Bunge kule posta ... Alfajiri mtoto wa miaka minne anagombea dala dala .. kama mzazi hana uwezo wa school bus basi wapeleke watoto shule za karibu .. Ahsante kwa mzee lowasa tuna shule za kata kila mahala
 
Ila wakati unasubir ubongo wake ukomae unamuanzisha masjid kwanza au sio?

Mimi wangu ana miaka mi5 Yuko KG2 namuamsha saa 12:45 asbhi na shule anaenda saa 1:30 na mara nyingi hapo mtaani yeye ndio mtoto wa mwisho siku zote kwenda shule na hapo anaposoma ni umbali wa dk 5 tu.
Sina haja ya kuendelea kujadiliana na mpumbavu kama ww mchana mwema.
 
Hiyo ya 8:30am ni nzuri sana au hata hadi 8:50am

Nilitegemea serikali na mapya ya mitaala(if sijakosea) wangeangalia hili poa
 
Huo umri hauna shida ila utakuta mtoto anakaa kimara bonyokwa.. alafu shule anasoma ni Bunge kule posta ... Alfajiri mtoto wa miaka minne anagombea dala dala .. kama mzazi hana uwezo wa school bus basi wapeleke watoto shule za karibu .. Ahsante kwa mzee lowasa tuna shule za kata kila mahala
Mkuu ni shule gani ya serikali itakayo kubali kumpokea mtoto mtoto wa miaka 3?
 
Kwa kawaida mtoto inatakiwa saa tatu usiku isimkute macho ili alale masaa nane saa kumi na moja kamili isimkute kitandani ili awe active hata kwenye kazi zake atazoea kuamka mapema
 
Hiyo ya 8:30am ni nzuri sana au hata hadi 8:50am

Nilitegemea serikali na mapya ya mitaala(if sijakosea) wangeangalia hili poa
Mnataka kuleta vilaza duniani.
Ndo maana ya adhana utakiwi saa kumi na moja kamili Bado upo kitandani inatakiwa uwe unafanya ibada au upo bafuni unaoga ni mwiko saa kumi na mbili kamili Bado haujatoka nyumbani
 
shida ninayoiona ni hao wazazi kupeleka watoto wadogo shule za mbali, lazima tukubali kuwa mambo yamebadilika, nyakati hizi mama wa nyumbani hamna, na mbaya zaidi kumekuwa na changamoto nyingi sana kuhusu hawa wasichana wa kazi kiasi kwamba kimbilio la wazazi ni hizo Daycare

Sasa mzazi anaamka saa 12 kwenda kazini kwake analazimika kwenda na mwanae ili akamuache shule, kuhusu muda shule nyingi zinataka mtoto afike saa 1:30 asubuhi kwahiyo kama yuko mbali na shule ndio hayo ya kuamka saa 11
Uko sawa mkuu lakini sio wote wanao fanya hivyo ni huo ubize unao usema.
Ni asilimia ndogo sana ya watz ambao utakuta baba na mama wote wanafanya kazi.
Tatizo la kubwa la watz ni kuigana, yaani mtu unaweza kuanzisha utaratibu fulani kwa sababu ya lifestyle yako maisha ilivyo ,lakini baada ya muda ukashangaa mtaa mzima wamesha anza kufuata utaratibu wako hata kama hauna faida kwenye maisha yao.

Mfano sasa hivi imekuja fation ya kusomesha watoto Ems unakuta mtu hata kula yake ni ya kuhangaikia lakini na yeye analazimisha kupeleka mtoto kwenye shule ya kulipia ada ya 2,000000 kwa mwaka .
 
kila mtu anatafuta kilicho bora mkuu, na anapambana awezavyo, mbona kuna wanaume wanahonga huku wao wanashindia mihogo, issue ni je ana uwezo wa kulipa hiyo mil 2 hata kwa kuvuja damu, kama ndio na ameamua, basi acha kipenda roho kile nyama mbichi
 
Uko sawa mkuu lakini sio wote wanao fanya hivyo ni huo ubize unao usema.
Ni asilimia ndogo sana ya watz ambao utakuta baba na mama wote wanafanya kazi.
Tatizo la kubwa la watz ni kuigana, yaani mtu unaweza kuanzisha utaratibu fulani kwa sababu ya lifestyle yako maisha ilivyo ,lakini baada ya muda ukashangaa mtaa mzima wamesha anza kufuata utaratibu wako hata kama hauna faida kwenye maisha yao.

Mfano sasa hivi imekuja fation ya kusomesha watoto Ems unakuta mtu hata kula yake ni ya kuhangaikia lakini na yeye analazimisha kupeleka mtoto kwenye shule ya kulipia ada ya 2,000000 kwa mwaka .
100% Fact
 
Ww utakuwa kobaz si bure, nahisi hiyo saa 11 awe macho Ili awahi swalaaa swalaa sio?
Ni mfumo wa kale wa Kiyahudi hata wazee wa zamani vijijini walikuwa wanakula saa kumi na mbili then saa moja kamili wanaingia kulala saa kumi alfajili wanaamka wanalima mashambani thus walikuwa na energy za kutosha za kimwili na kiroho
 
Mambo yababadilika ndgu, miaka 7 ni mkubwa huyo afaa kua darasa la 3 kwa miaka hii.

Wewe ndo utafanya mwanao azeekee shule.
Mpeleke shule za karibu acheze na watoto wenzie, mbona shule zetu za st.kayumba watoto hao wadogo wanaenda saa moja na saa tano au sita kesharudi
Miaka 7 nilikua bado navaa nepi
 
Kwa kawaida mtoto inatakiwa saa tatu usiku isimkute macho ili alale masaa nane saa kumi na moja kamili isimkute kitandani ili awe active hata kwenye kazi zake atazoea kuamka mapema
Mkuu suala la kuamka na kulala mapema sio tatizo, tatizo ni kutomuandalia mtoto mazingira rafiki ya kumfikisha shule.
Alafu mtoto wa miaka 3 kumpeleka shule haiko njema ni kumtesa tu.
 
Back
Top Bottom